Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Duh labda zama za NyerereHata jero ya vocha humpi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh labda zama za NyerereHata jero ya vocha humpi
kwan yule bwana alipokuwa anavuta alishikwa na nani? dah bas mwenzetu itakuwa mtu mkubwa kweri kweli hapa nchini, kama wananchi wanakutawala ndio safi ni mfano wa kuigwa tena ikiwezekana wakukule na viboko unapozembea ameniMh wewe unataka kunifukuzisha kazi sio bure .
Wenzio wana mpaka namba za maboss wa mkoa na wilaya yaani ukiharibu kidogo washapiga simu sasa kwa bangi si nitakuwa jobless sio muda .
Kwa bundi iko poa lakini huku wachawi wanauwawa wataniua usiku usiku hawana dogo hawa ndugu zake Mpenja
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
hiyi dharau sasa kwa polisi kwa hali hy lazima mbambikiwe kesi yaan we unywe mi nikulinde mbona bora nikakuweke sero hiyo hela utatoa ili utoke ndan utaki unabaki mpaka mshahara wangu utapotokaNaaam , unakunywa hapo mpaka unamaliza.
Baadhi ya nchi mapolisi hawana mishahara , kazi Yao ndio hiyo mnakunywa anawalinda mpaka mnamaliza kisha mnampa chochote kitu kwa kuwalinda.
bas police inabidi wawe wengi kuliko raia ili mlindwe vizurKazi ya police ni kulinda raia na mali zao
Kila raia inatakiwa iwe na askari anayemlinda popote
Senti kadhaa unanunua sukari na mahitaji mengine, shati zuri ni sh 7 sijui, elfu 20 we ni tajiri, unajibweda tu.Enzi hizo thumuni na senti inatumika
Unatafuta kulala ndani wewe, utatoka january, shauri zako.Lazima nijaribu hii pale Central DSM
Tena unaeza itwa muhujumu uchumiSenti kadhaa unanunua sukari na mahitaji mengine, shati zuri ni sh 7 sijui, elfu 20 we ni tajiri, unajibweda tu.
Unaulizwa umezipataje pataje. 🤣😂Tena unaeza itwa muhujumu uchumi
😂😂😂 unabidi utoe maelezo ya kinaUnaulizwa umezipataje pataje. 🤣😂
Hao ndo watakuchomesha uibiwe bora utembee na kibunda chako kwenye kiroba.Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .
Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].