Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?

  • Total voters
    136
Urafiki wa mashaka! Hahahahah
Tatizo kijana anawadanganya wenzake, lakini kule FB naona ametupia picha za kutosha akiwa na kimwana wake, tena amemkumbatia mujarab na dunia yote imeona...😂🤣
 
Kunbe umeoa halafu unahamasisha kukataa ndoa?
Mimi mawazo yangu ni Yale ya kizamani, hivyo kwangu ndoa ni lazima.
Lakini ni lazima Kwa vile nipo na MTU ambaye naye anatumia mifumo ya kale.

Kwangu Maisha ni kuwa na Familia.
Ila kamwe sitokubali kuwa na familia ya kijinga na kipuuzi Kwa kisingizio cha ndoa.
Hilo kwangu halitavumilika
 
Ndugu mto mada mbona Robert mwenyewe hapingi ndoa, maana mwenyewe ana ndoa na anasema yeye kwake ndoa ni familia au ndio Ile tunasema fuata maneno yangu na sio vitendo?
 
For you...perhaps.

To many....he is an offshoot of personas of Sigmud freud, oswald spengler and the likes....Misogynist Racist Bigoted twaats.
He has no moral authority to lecture Tanzanians. He has no Scientific Background, no verifiable work or Scientific research anywhere on this planet.

Makala yake sio makala by any standards whatsoever. Ni tapeli.

Wekeni wasifu wake jamani basi!
Makala ili iwe standard inatakiwa ipitishwe na nani?

Shida watu hawataki kutoka nje ya mfumo wa kidunia
 
Ndugu mto mada mbona Robert mwenyewe hapingi ndoa, maana mwenyewe ana ndoa na anasema yeye kwake ndoa ni familia au ndio Ile tunasema fuata maneno yangu na sio vitendo?
Mm toka kwanzo nimemchukulia km character wa story ni muwakilishi
 
Ujue ndoa ni Kubahatishana tu hakuna Formula ya kupata Mke mwema, kwanini tucheze patapotea. Wewe kwakua umebahatisha usijione Mjanja na usituhakikishie bahati wote.
Kiimani ndoa sio bahati nasibu ila unapata wa kufanana naye.
 
Basi atolewe kwenyw huo uwakilishi wa wanaopinga ndoa au ndio yale una kadi ya ccm huku unatetea upinzani
 
Makala ili iwe standard inatakiwa
Swali zuri sana
ipitishwe na nani?
Kabla sijakujibuWewe umeona makala zake wapi? Niwekee link ya Gazeti au Jarida lelote lile....nitaacha kusema ninayoyasema.
Shida watu hawataki kutoka nje ya mfumo wa kidunia

..he is an offshoot of personas of Sigmud freud, oswald spengler and the likes....Misogynist Racist Bigoted twaats.

He has no moral authority to lecture Tanzanians. He has no Scientific Background, no verifiable work or Scientific research anywhere on this planet.

Makala yake sio makala by any standards whatsoever. Ni tapeli.

Wekeni wasifu wake jamani basi!
 
Mpaka Sasa wanaume 70% na wahuni 26% ,,, Wahuni wakishinda nipigwe Ban na Simu yangu naitumbukiza chooni..

Maana itakuwa jamii iliyolaanika kushindwa na wahuni.
 
Kiimani ndoa sio bahati nasibu ila unapata wa kufanana naye.
Mmmh Hizo kauli za Wa Kufanana nae zimewacost wengiiiiiii, Tuseme kweli ndoa ni kuthibitisha tu kua Mke na Mume hayo yafuatayo Mtajua wenyewe
 
Mpaka Sasa wanaume 70% na wahuni 26% ,,, Wahuni wakishinda nipigwe Ban na Simu yangu naitumbukiza chooni..

Maana itakuwa jamii iliyolaanika kushindwa na wahuni.
😔😔😔😔si wahuni? Mm naamin hii petition tutapindua meza
 
Back
Top Bottom