korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,004
- 666
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ufaraAlphabet huyu
Hakika, Mungu anakuongoza na kukuonesha njia sahihi utakayoiendea anasema atakushauri jicho lake likikutazama.Shida ni kwamba Mungu Hakuletei Umekaa Unatafuta mwenyewe.
Mmh aah aah, Ko masanja hakuonyeshwa au?Hakika, Mungu anakuongoza na kukuonesha njia sahihi utakayoiendea anasema atakushauri jicho lake likikutazama.
Utapata amani ya moyoni ukiwa nae bila wasiwasi wowoteUtamjuaje
Utaoa au utaolewa ?Acha ufara
Inawezekana hakuoneshwa, alijionesha mwenyewe au alifuata tamaa zake mwenyewe.Mmh aah aah, Ko masanja hakuonyeshwa au?
Ngoja waandamane waje na mawe😂😂😂Wanaokataa ndoa asilimia kubwa ni wapiga punyeto
Kimsingi Mwenyewe kuna bint namwamini sana na Naeza oa hata sahii, She is Perfect. Ila in General Hakuna waolewaji saivi siwez tumia Mwanamke mmoja kuwasafisha wote.Utapata amani ya moyoni ukiwa nae bila wasiwasi wowote
Yaani utaondoa ile dhana ya kutomwamini.
Tamaa zako zitakua juu yake, Sasa ukionyeshwa ambae huna hisia nae mtaishije?Inawezekana hakuoneshwa, alijionesha mwenyewe au alifuata tamaa zake mwenyewe.
2. ✔️ ✔️ Nakubali ndoa halali kwani huu utaratibu wa kuzoa-zoa wanawake au wanaume na kuanza kuzaana hovyo bila kuzingatia taratibu zilizokubalika katika jamii ni chanzo cha machafuko katika Jamii husika.Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forum baina ya team mbili
1) KATAA NDOA
2)KUBALI NDOA
Kwa upande kataa ndoa muwakilishi
ROBERT HERIEL aliandika uzi huu
"Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi"
Kwa upande wa kubali ndoa ni MSHANA JR
Kaandika uzi huu
"Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa"
Na siku zote watu Positivu Wako hivi, Kaoa lakin hatumii hiyo kama sabubu ya Kuhalalisha ndoa. Yaani hajitetei kwanini kaoa. Mtu mjanja mjanja atataka upite alimopita yeye kuna watu wanafagilia ndoa sababu tu washaoa ila uko ndani wanaona Moto.Robert Heriel mwenyewe kasema hapo juu kuwa ameoa!
Wee Akili na Ndoa How how!?Wahuni wakishinda mods nipigeni Ban.
Kukataa kuoa Ni uhuni Kama uhuni mwingine..
OA KIJANA UJIJENGE KIUCHUMI NA KIAKILI...
Na wewe kwanini usitafute mwanamke ambaye ataendana na principles zako za kimaisha. Mwenye tatizo ni wewe unayeoa sio anayetaka kuolewa.Sasa kwanini uoe mtu anaejikuta anaweza vyote umo ndoani wote mtakua mikia au?
Unadhan nini hatima yako ukioa mwanamke mwenye tamaa ya mali kuliko kujali upendo?
Kwa kua ushaoa nisikuvunje Moyo, Mpende Mke wako Mwombee akuheshim siku zote.