Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?

  • Total voters
    136
Lini mliacha kuwasimanga ni single mothers. Sasa nao wanaamua kua nyie mnakataa ndoa na wao wanakataa kuzaa ni kula ujana tu. Dunia mnayotaka iwe itakua ya hovyo sana.
Ofcoz dunia ndo ishakua hii usishupaze shingo utavunjika asee, Waolewaji wenyewe Mmekaa kimchongo mchongo tu
 
Atreast tunadum japo tunachosha pia ndo maana haifai kugandana
At least [emoji4] kama mtoto anagombana na mzazi wake na kufikia hata kumchukia kwa wakati huo atashindwaje kupishana na mpenzi/mke/mume wake ambaye wamekutana ukubwani. Hayo ndio maisha na usipoyapitia utakua soft sana
 
Wawepo wasiwepo i don't care ndoa ni muhimu
Robert Heriel is a Misogynist Racist Twaat.

Huwezi kumuweka Haramia na kumfananisha au kumlinganisha na Mtanzania/Mwafrika katika masuala ya Jamii.

Robert Heriel haijali Tanzania, hajali Jamii na wala sio mtu wa Kweli. Wekeni C.V yake Leteni picha zake. Hakuna Tapeli mkubwa ambaye ameshatokea kama huyo mdudu.
No ni independent thinker
 
Ndoa ingekua ya Maana Hata Yesu angeoa kama mfano, Ila kwa kua ni useless hata Paulo akaipiga chini na akasema Ukiona vipi Achana nayo.
Screenshot_20230205-221352~2.jpg
 
Ntajaribu ila Sishauri kabisa. Wanaume tunapungua tu na Single mazas wanaongezeka husomi upepo Bro?
Single moms wanasababishwa na mambo mawili au matatu
1. Wanaume wanawazalisha na kisha kukwepa majukumu.
2. Wanawake wabishi wenye kujitia wanaweza kila kitu.
3. Wanawake wenye tamaa za kumiliki vitu vilivyo nje ya uwezo, hawa wanazalishwa na kuachwa kwenye mataa.
 
Feminism pia
 
At least [emoji4] kama mtoto anagombana na mzazi wake na kufikia hata kumchukia kwa wakati huo atashindwaje kupishana na mpenzi/mke/mume wake ambaye wamekutana ukubwani. Hayo ndio maisha na usipoyapitia utakua soft sana
Bora uwe soft kuliko Mtoto wa Mtu akukomaze Roho uwe kama Yuda
 
Single moms wanasababishwa na mambo mawili au matatu
1. Wanaume wanawazalisha na kisha kukwepa majukumu.
2. Wanawake wabishi wenye kujitia wanaweza kila kitu.
3. Wanawake wenye tamaa za kumiliki vitu vilivyo nje ya uwezo, hawa wanazalishwa na kuachwa kwenye mataa.
tufanyeje kuepuka hilo??
Je ni nini chanzo cha kampeni ya KATAA NDOA
 
Single moms wanasababishwa na mambo mawili au matatu
1. Wanaume wanawazalisha na kisha kukwepa majukumu.
2. Wanawake wabishi wenye kujitia wanaweza kila kitu.
3. Wanawake wenye tamaa za kumiliki vitu vilivyo nje ya uwezo, hawa wanazalishwa na kuachwa kwenye mataa.
Sasa kwanini uoe mtu anaejikuta anaweza vyote umo ndoani wote mtakua mikia au?
Unadhan nini hatima yako ukioa mwanamke mwenye tamaa ya mali kuliko kujali upendo?

Kwa kua ushaoa nisikuvunje Moyo, Mpende Mke wako Mwombee akuheshim siku zote.
 
ROBERT anaandika logical and tangible arguments yule mwingine ni mehemko na kutafta publicity tu.

KATAA NDOA
wanaokataa ndoa wamekwama.hawana ajira.pesa.wala wapenzi.wanataka kupata wajinga wa kufanana nao.unakataaje ndoa ambayo ni mpango wa mungu.tena hao wajinga wanaoendesha hii kampeni ya.kataa.ndoanwachukuliwe hatua na serikali.bila kuwa na.ndoa nchi itapataje wataalamu.wanajeshi .nguvu kazi nk.usikute hii nayo ni hujuma.kutoka.njee kwa malengo.kadhaa ya kijasusu kwa.lengo la kuharibu nchi.
 
Jamii Bora
Nchi imara
Taifa imara
Uongozi imara

Msingi wake vyote hivyo ni NDOA. Sasa hao wanaopiga kampeni za kukataa ndoa wanataka tujenge jamii ya namna gani 20y-100yrs baadae.

Mwanaume anapimwa kwa kiwango chake cha kutatua matatizo. Sasa mdangaji mmoja kaharibu halafu mnakuja kuleta kampeni zenu uchwara za kukataa ndoa. Akiharibu Zuwena unakung'uta vumbi unahamia kwa Asha maisha yanaenda.

Mimi naungana na Mshana Jr.

Hao wanaopinga ndoa ni watu waliofeli ktk mahusiano na kimsingi ukiwafuatilia utakuta wao ndio wanamatatizo.
 
Kataa Ndoa

Ndoa Ni Utapeli

Ndoa Ni Wizi

Kataa Ndoa

HAKUNA KUOA
 
wanaokataa ndoa wamekwama.hawana ajira.pesa.wala wapenzi.wanataka kupata wajinga wa kufanana nao.unakataaje ndoa ambayo ni mpango wa mungu.tena hao wajinga wanaoendesha hii kampeni ya.kataa.ndoanwachukuliwe hatua na serikali.bila kuwa na.ndoa nchi itapataje wataalamu.wanajeshi .nguvu kazi nk.usikute hii nayo ni hujuma.kutoka.njee kwa malengo.kadhaa ya kijasusu kwa.lengo la kuharibu nchi.
Kuna Wakat Yesu aliombe kikombe kimuepuke, kuna mipango ni ya Mungu ndio lakin inakua inafikia hatua inaumiza sana kulingana na Dunia inavyosonga sasa.

Mparange anataka ndoa sa Weweee si utaitumia ndoa Vibaya ndugu?
 
Back
Top Bottom