Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
Kimsingi Mwenyewe kuna bint namwamini sana na Naeza oa hata sahii, She is Perfect. Ila in General Hakuna waolewaji saivi siwez tumia Mwanamke mmoja kuwasafisha wote.
Waolewaji wapo, ila ni wachache sana katika wengi, lakini ukisema hawapo kabisa utakuwa unakosea.
 
Na wewe kwanini usitafute mwanamke ambaye ataendana na principles zako za kimaisha. Mwenye tatizo ni wewe unayeoa sio anayetaka kuolewa.
Ujue ndoa ni Kubahatishana tu hakuna Formula ya kupata Mke mwema, kwanini tucheze patapotea. Wewe kwakua umebahatisha usijione Mjanja na usituhakikishie bahati wote.
 
Waolewaji wapo, ila ni wachache sana katika wengi, lakini ukisema hawapo kabisa utakuwa unakosea.
Sasa katika hao waolewaji wachache inabidi wanaume wachache pia ndio waoe, Wengine tusubir folen au unataka wengine tudondokee pua?
 
Tamaa zako zitakua juu yake, Sasa ukionyeshwa ambae huna hisia nae mtaishije?

Hivi unaeza muomba Mungu amfanye mtu uliemchagua awe Mke Mwema?
Kabisa! Kabisa! Mungu anabadilisha watu

Tena Mungu anasema atakupa sawasawa na haja ya moyo wako, so unaweza kuspecify hata umbo, rangi, kimo n.k na Mungu akakupa wa namna hiyo

Kinachozuia watu kupata watu sahihi ni ile Mtu anamwomba Mungu ampe Mke/ Mume sahihi wakati njia zake mwenyewe sio sahihi.
 
No ni independent thinker
For you...perhaps.

To many....he is an offshoot of personas of Sigmud freud, oswald spengler and the likes....Misogynist Racist Bigoted twaats.
He has no moral authority to lecture Tanzanians. He has no Scientific Background, no verifiable work or Scientific research anywhere on this planet.

Makala yake sio makala by any standards whatsoever. Ni tapeli.

Wekeni wasifu wake jamani basi!
 
Kabisa! Kabisa! Mungu anabadilisha watu

Tena Mungu anasema atakupa sawasawa na haja ya moyo wako, so unaweza kuspecify hata umbo, rangi, kimo n.k na Mungu akakupa wa namna hiyo

Kinachozuia watu kupata watu sahihi ni ile Mtu anamwomba Mungu ampe Mke/ Mume sahihi wakati njia zake mwenyewe sio sahihi.
Hapa nimekupata Vizuri na nimependa hoja zako ni laini kama nila ya Yesu.

Sa watu aga wanakwama wapi mpaka wanaoa pics mbovu ety kaletewa na Allah?
 
Huwezi kupata akili Kama hujaoa ,,kila penye mafanikio ya mwanaume mmoja ujue nyuma yake Kuna mwanamke smart ....

OA KIJANA
Weee! Ko wewe au Mkeo au Memeo ni matajir?
 
Kwa mke wangu, mimi nimepata mke namshukuru Mungu,sijui huko mbeleni.

Nawashauri vijana waoe kama wangu, bila kusita, niko proud na huyu mtoto wa mama mkwe.
Shida ni kwamba yupo mmoja tu na binadam hatufanani kama Maharage
 
Back
Top Bottom