Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
Ndoa Kwa malezi Bora ya vizazi vijavyo, umekuwa bora kwasababu baba Yako alioa na mama Yako aliolewa na ukalelewa hata Leo unajidai naenda na Mshana Jr
Wote bora Walitokea kwenye ndoa? Sio kweli kwa hili Big NO
 
Ndoa ni mpango wa Mungu
wachache wameharibu na kufanya ionekane haina maana!
Binafsi nipo kwenye ndoa mwaka wa 11 sasa na ukiniuliza kama ni mbaya ntakujibu hapana,ni njema na nafurahia kuona wanangu wakikua huku wanapata upendo wote kutoka kwa baba yao,hii inawajenga kisaikolojia na kuwaondolea upweke wa kukosa mzazi mmoja!
Kikubwa ukitaka kuingia kwenye ndoa uwe na subra upate alie tayari kufanya majukumu yake kama mwanandoa na si vinginevyo,hapa haimaanishi hamtakwazana lakini yale majuto hutakaa uyapate kama shuhuda za watu humu!
Mimi nasimama na mshana,kijana KUBALI ndoa!
 
Kabisa siwez enda kinyume cha mpango wa Mungu ni kumpa shetani nafasi hiyo ni big no
 
Mm nachomkubali anaongea ukweli japonica katika lugha ya kikatili bila kumumunya maneno
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…