Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Sisi tulizima mara moja ila sitakaa nisahau aisee. Mimi nikiona moto mtaani nageuza njia yani maana nyuma kulikua na fimbo, mbele moto na juu jua. Hapo ni mwezi wa saba na lile jani lilivyo kauka yani. Ah...hadi kero.Aisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan
SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO
Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee
824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Dah hao wazazi ni mamafya. Hilo doso aliliweza kweli? Unaweza kuwachukia wazazi wako milele maana huwa hawaelewi kitakachoendelea wakiondoka. Yani hapo unalaani vibaya mno.Kuna coplo... asee yule muuaji hajali hii coy yake au laa nakumbuka alikuwa anawavua shat wadudu(kurut ) then mnaroll kwny mbigili+baridi la arusha ahaa asee yule sio mtu kuna mwamba aliwahi kumwambia afande me nina pumu tukiwa tunaruka kichura kwenda kuchota maji basi akamwmbia njoo kaa mbele apo ruka kichura nataka nikuone ukizidiwa na vumbi kama utakufa...
sema kule unafunzwa uvumilivu wa kwl nilishangaa siku moja watt wa ruvu walikuwa wameoverpopulation ikabidi 200 waletwe makuyuni 200 wengine oljoro asee wale jamaa walipiga intro ndogo tu kesho yake wakasepa 6 *****
Sitosahau kuna m1 uyo hakutokea ruvu lakin alitoroka kufika kwao mzaz wake akamrudisha kambini.
Alimaliza ila hata mm kama mwanangu wa kiume kama hana ugonjwa lazima aendeDah hao wazazi ni mamafya. Hilo doso aliliweza kweli? Unaweza kuwachukia wazazi wako milele maana huwa hawaelewi kitakachoendelea wakiondoka. Yani hapo unalaani vibaya mno.
Wakongwe wa Mafinga JKT (1980), Eagle Coy, Operation Tija hatutamsahau Afande Masoda, Kapteni Mangwembe na Sajenti Mungure. Kero ya pale ilikuwa baridi kali mno na unapangwa gadi Changarawe; Dah hakuna rangi utaacha kuona. Kingine ni kutokuwepo kwa viti au fomu za kukalia. Kila siku kwenye Chenja lazima ukae chini kwenye mchanga/vumbi sio kuchuchumaa i.e makalio lazima yaguse ardhi - Unachafukaje!!Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Ulikua B coy?. Mwamba nimedili nae 2013 July. Mshenzi alitufungulisha kozi we chamoto tulikiona ile siku. Ila mwili huwa unazoea aiseeUnamkumbuka af Magesa kama ulikuwa OP muungano tulikuwanae B coy, aaah huyu afande siwez msahau yaan alikuwa anapenda Doso kama chakula,
Nakumbuka kunacku kuruta mmoja alitoroka akiwa zamu yaan huyo kuruta siwez msahau anaitwa Rema aisee yaan tulimtafuta huku tunakula Doso mpaka muda wa mchakamchaka jamaa hajapatikana yaan ni noma, pia
Nakumbuka kunasiku walitupeleka vikwazo tukabeba viroba elf1000 na pushups zaid 1000 yaan huwez amin aisee . Ila nasikia jamaa ameisha kufa Mungu ailaze roho yake pema pepu
Ulale Kanembwa? kwa kina nyang'anyi, dakanyama au magesa? hapana aisee. Ila at time i miss those days. They were not pleasant but they created a worthy memories aiseeAmbacho kilikuwa kinaniudhi kwakwel ni vle nikiwa 824 KJ OP muungano tunasikia kuwa kunakambi za wenzetu huwa wanalala yaan wanapewa 5 wakati sisi hata kulala tushasahau na kama mkipewa 5 ni dakka 10 au 5 tu mshaamshwa
Na hii ilipelekea sisi tukapga 7 weeks na sio six weeks tena yaan ni noma aisee
Matalala.Shamba Dunia au ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mitihani ya moko
Duh kwa hiyo unanusa makimba ya wenzakoMsange JKT walinikera sana.
Vyoo having partition. Yaani kijumba kina matundu kumi au zaidi na nyote mnaonana mnapofanya hiyo shughuli yenu.
Wako mawaziri na makatibu wakuu nilikua nao jkt na Jambo hili ukiwakumbusha wakiwa kwenye v8 wanajifanya hawakumbuki.
Kuna huyu waziri mpenda sifa na totoz ambaye kwa Sasa Yuko bench huyu nanihii huyu ambae hapendi kuvaa suti.
Yap. JKT ilitufundisha kwamba yale tunayodhani kuwa hayawezekani huwa yanawezekana. Naikumbuka sana Mafinga JKT(841KJ) tuliiba sana nyama za nguruwe tukishirikiana na Watoto wa mama mdogo.Duh kwa hiyo unanusa makimba ya wenzako
AiseeYap. JKT ilitufundisha kwamba yale tunayodhani kuwa hayawezekani huwa yanawezekana. Naikumbuka sana Mafinga JKT(841KJ) tuliiba sana nyama za nguruwe tukishirikiana na Watoto wa mama mdogo.
Amini saa sita umewahi kulala sana jeshi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]***** Mgambo ilikuwa Jiko ngaingai mpaka moniii yani hutaamini ngurutu ila hapa husinzii mpaka asubuhi kuna kulalia mgongo tuu...Naona mnaongea vitu simple tu kuna hii ya kuamshwa na moshi wa sigara 839KJmakuyuni kujitolea hyo apo private godfrey anapita dirishani uku anavuta fegi then anafunga mlango m1 alaf anaingilia mlango wa pili na bakora mbn mtasema tu na apo upige mswaki utandike kitanda usafishe anga then uwah kombania .....
ilinifanya nisitamani kubaki kujitolea ukizingatia maji shida kilichotusaidia ni wanyama wakali wanalala karibu na kambi ikawa inasaidia kumka mapema saa10 asbh na kulala mapema saa7/6 uck uko ndo nikaona kumbe tembo sio wa kucheza nae HAFAI NA NYATI WEEEEEEE SIMBA MCHUMBA TU APO...
Oya sio mchezo mzee kuna mwamba uyo aliingia chaka akanya mafungugmfungu yy na mwenzie then wakaweka majani kama chumba alaf Kwny mlango ndo kinyesi wakalala ndani ila kuna private mnoko aliwashtukia[emoji1][emoji1] walipiga kitu kinaitwa Vasco da GamaAmini saa sita umewahi kulala sana jeshi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]***** Mgambo ilikuwa Jiko ngaingai mpaka moniii yani hutaamini ngurutu ila hapa husinzii mpaka asubuhi kuna kulalia mgongo tuu...
Kuna siku mvua ilipiga ya maana ***** nilikoroma huku maji yanapita chini ya kitshirt cha jest kile na pitshot nikasema kesho nikiala kwenye Mvua tena yani Jeshi watanisikia tu dadekii natorokaaa boda to boda... Uzuri wake kesho mkuu wa kikosi akapiga marufuku ngurutu kulala kwenye mvua.. Yani wame na eriki wale maafande hapana
tupeane pole wa op.838kj Operation Magufuli 2016..
Nlikerwa na vitu vingi sana mpaka nashindwa nianzie wap..
Ila kwa ufupi wale jamaa ni wauaji
Ndo kilichobaki hcho ndugu yangutupeane pole wa op.
Erick pumbav sana yule jamaa asee daaag na kuna jamaa alikua anaitwa magera aseee op kikwete 2015 aliwasha moto danger coyAmini saa sita umewahi kulala sana jeshi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]***** Mgambo ilikuwa Jiko ngaingai mpaka moniii yani hutaamini ngurutu ila hapa husinzii mpaka asubuhi kuna kulalia mgongo tuu...
Kuna siku mvua ilipiga ya maana ***** nilikoroma huku maji yanapita chini ya kitshirt cha jest kile na pitshot nikasema kesho nikiala kwenye Mvua tena yani Jeshi watanisikia tu dadekii natorokaaa boda to boda... Uzuri wake kesho mkuu wa kikosi akapiga marufuku ngurutu kulala kwenye mvua.. Yani wame na eriki wale maafande hapana
Magera na mwenziw Sais OP yetu JK walihenyeshwa sababu kuna katoto ka brigedia walikuwa wanakazingua aisee si ndo simu ikapigwaa toka juu mbona kiliwakaa palee...!! Ilikuwa jau sana aiseeErick pumbav sana yule jamaa asee daaag na kuna jamaa alikua anaitwa magera aseee op kikwete 2015 aliwasha moto danger coy