Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Kuna coplo... asee yule muuaji hajali hii coy yake au laa nakumbuka alikuwa anawavua shat wadudu(kurut ) then mnaroll kwny mbigili+baridi la arusha ahaa asee yule sio mtu kuna mwamba aliwahi kumwambia afande me nina pumu tukiwa tunaruka kichura kwenda kuchota maji basi akamwmbia njoo kaa mbele apo ruka kichura nataka nikuone ukizidiwa na vumbi kama utakufa...

sema kule unafunzwa uvumilivu wa kwl nilishangaa siku moja watt wa ruvu walikuwa wameoverpopulation ikabidi 200 waletwe makuyuni 200 wengine oljoro asee wale jamaa walipiga intro ndogo tu kesho yake wakasepa 6 *****

Sitosahau kuna m1 uyo hakutokea ruvu lakin alitoroka kufika kwao mzaz wake akamrudisha kambini.
 
Aisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan

SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO

Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee

824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sisi tulizima mara moja ila sitakaa nisahau aisee. Mimi nikiona moto mtaani nageuza njia yani maana nyuma kulikua na fimbo, mbele moto na juu jua. Hapo ni mwezi wa saba na lile jani lilivyo kauka yani. Ah...hadi kero.
 
Kuna coplo... asee yule muuaji hajali hii coy yake au laa nakumbuka alikuwa anawavua shat wadudu(kurut ) then mnaroll kwny mbigili+baridi la arusha ahaa asee yule sio mtu kuna mwamba aliwahi kumwambia afande me nina pumu tukiwa tunaruka kichura kwenda kuchota maji basi akamwmbia njoo kaa mbele apo ruka kichura nataka nikuone ukizidiwa na vumbi kama utakufa...

sema kule unafunzwa uvumilivu wa kwl nilishangaa siku moja watt wa ruvu walikuwa wameoverpopulation ikabidi 200 waletwe makuyuni 200 wengine oljoro asee wale jamaa walipiga intro ndogo tu kesho yake wakasepa 6 *****

Sitosahau kuna m1 uyo hakutokea ruvu lakin alitoroka kufika kwao mzaz wake akamrudisha kambini.
Dah hao wazazi ni mamafya. Hilo doso aliliweza kweli? Unaweza kuwachukia wazazi wako milele maana huwa hawaelewi kitakachoendelea wakiondoka. Yani hapo unalaani vibaya mno.
 
Dah hao wazazi ni mamafya. Hilo doso aliliweza kweli? Unaweza kuwachukia wazazi wako milele maana huwa hawaelewi kitakachoendelea wakiondoka. Yani hapo unalaani vibaya mno.
Alimaliza ila hata mm kama mwanangu wa kiume kama hana ugonjwa lazima aende
 
Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Wakongwe wa Mafinga JKT (1980), Eagle Coy, Operation Tija hatutamsahau Afande Masoda, Kapteni Mangwembe na Sajenti Mungure. Kero ya pale ilikuwa baridi kali mno na unapangwa gadi Changarawe; Dah hakuna rangi utaacha kuona. Kingine ni kutokuwepo kwa viti au fomu za kukalia. Kila siku kwenye Chenja lazima ukae chini kwenye mchanga/vumbi sio kuchuchumaa i.e makalio lazima yaguse ardhi - Unachafukaje!!
Kero nyingine ilikuwa ni kufyagia asubuhi- kuna giza na mifagio tunaikata wenyewe kwenye kapori ka miti ya Miwati pembeni mwa barabara (smart Area). Hako kapori kalikuwa ni mahali pa kujisaidia haja kubwa wale wanaokuwa Kota gadi. Sasa kwa giza hilo huoni chini na utakanyaga sana mavi. Matokeo yake Mnanukaje mtakapoenda kwenye uji kwa mwendo wa kunyakuwa-nyakua..😂
Sali/Omba siku hiyo usikutane na Afande Nusumungu.... yupo "Heey! Zoezi limebadilika... Nyumaaa geuka'....." na ngarambe ndo inaanzia hapo.
...I love those Old Good Days .
Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
 
Unamkumbuka af Magesa kama ulikuwa OP muungano tulikuwanae B coy, aaah huyu afande siwez msahau yaan alikuwa anapenda Doso kama chakula,
Nakumbuka kunacku kuruta mmoja alitoroka akiwa zamu yaan huyo kuruta siwez msahau anaitwa Rema aisee yaan tulimtafuta huku tunakula Doso mpaka muda wa mchakamchaka jamaa hajapatikana yaan ni noma, pia
Nakumbuka kunasiku walitupeleka vikwazo tukabeba viroba elf1000 na pushups zaid 1000 yaan huwez amin aisee . Ila nasikia jamaa ameisha kufa Mungu ailaze roho yake pema pepu
Ulikua B coy?. Mwamba nimedili nae 2013 July. Mshenzi alitufungulisha kozi we chamoto tulikiona ile siku. Ila mwili huwa unazoea aisee
 
Ambacho kilikuwa kinaniudhi kwakwel ni vle nikiwa 824 KJ OP muungano tunasikia kuwa kunakambi za wenzetu huwa wanalala yaan wanapewa 5 wakati sisi hata kulala tushasahau na kama mkipewa 5 ni dakka 10 au 5 tu mshaamshwa
Na hii ilipelekea sisi tukapga 7 weeks na sio six weeks tena yaan ni noma aisee
Ulale Kanembwa? kwa kina nyang'anyi, dakanyama au magesa? hapana aisee. Ila at time i miss those days. They were not pleasant but they created a worthy memories aisee
 
Msange JKT walinikera sana.
Vyoo having partition. Yaani kijumba kina matundu kumi au zaidi na nyote mnaonana mnapofanya hiyo shughuli yenu.
Wako mawaziri na makatibu wakuu nilikua nao jkt na Jambo hili ukiwakumbusha wakiwa kwenye v8 wanajifanya hawakumbuki.
Kuna huyu waziri mpenda sifa na totoz ambaye kwa Sasa Yuko bench huyu nanihii huyu ambae hapendi kuvaa suti.
Duh kwa hiyo unanusa makimba ya wenzako
 
Duh kwa hiyo unanusa makimba ya wenzako
Yap. JKT ilitufundisha kwamba yale tunayodhani kuwa hayawezekani huwa yanawezekana. Naikumbuka sana Mafinga JKT(841KJ) tuliiba sana nyama za nguruwe tukishirikiana na Watoto wa mama mdogo.
 
Yap. JKT ilitufundisha kwamba yale tunayodhani kuwa hayawezekani huwa yanawezekana. Naikumbuka sana Mafinga JKT(841KJ) tuliiba sana nyama za nguruwe tukishirikiana na Watoto wa mama mdogo.
Aisee
 
Naona mnaongea vitu simple tu kuna hii ya kuamshwa na moshi wa sigara 839KJmakuyuni kujitolea hyo apo private godfrey anapita dirishani uku anavuta fegi then anafunga mlango m1 alaf anaingilia mlango wa pili na bakora mbn mtasema tu na apo upige mswaki utandike kitanda usafishe anga then uwah kombania .....

ilinifanya nisitamani kubaki kujitolea ukizingatia maji shida kilichotusaidia ni wanyama wakali wanalala karibu na kambi ikawa inasaidia kumka mapema saa10 asbh na kulala mapema saa7/6 uck uko ndo nikaona kumbe tembo sio wa kucheza nae HAFAI NA NYATI WEEEEEEE SIMBA MCHUMBA TU APO...
Amini saa sita umewahi kulala sana jeshi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]***** Mgambo ilikuwa Jiko ngaingai mpaka moniii yani hutaamini ngurutu ila hapa husinzii mpaka asubuhi kuna kulalia mgongo tuu...

Kuna siku mvua ilipiga ya maana ***** nilikoroma huku maji yanapita chini ya kitshirt cha jest kile na pitshot nikasema kesho nikiala kwenye Mvua tena yani Jeshi watanisikia tu dadekii natorokaaa boda to boda... Uzuri wake kesho mkuu wa kikosi akapiga marufuku ngurutu kulala kwenye mvua.. Yani wame na eriki wale maafande hapana
 
Oya sio mchezo mzee kuna mwamba uyo aliingia chaka akanya mafungugmfungu yy na mwenzie then wakaweka majani kama chumba alaf Kwny mlango ndo kinyesi wakalala ndani ila kuna private mnoko aliwashtukia[emoji1][emoji1] walipiga kitu kinaitwa Vasco da Gama
 
Amini saa sita umewahi kulala sana jeshi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]***** Mgambo ilikuwa Jiko ngaingai mpaka moniii yani hutaamini ngurutu ila hapa husinzii mpaka asubuhi kuna kulalia mgongo tuu...

Kuna siku mvua ilipiga ya maana ***** nilikoroma huku maji yanapita chini ya kitshirt cha jest kile na pitshot nikasema kesho nikiala kwenye Mvua tena yani Jeshi watanisikia tu dadekii natorokaaa boda to boda... Uzuri wake kesho mkuu wa kikosi akapiga marufuku ngurutu kulala kwenye mvua.. Yani wame na eriki wale maafande hapana
Erick pumbav sana yule jamaa asee daaag na kuna jamaa alikua anaitwa magera aseee op kikwete 2015 aliwasha moto danger coy
 
Erick pumbav sana yule jamaa asee daaag na kuna jamaa alikua anaitwa magera aseee op kikwete 2015 aliwasha moto danger coy
Magera na mwenziw Sais OP yetu JK walihenyeshwa sababu kuna katoto ka brigedia walikuwa wanakazingua aisee si ndo simu ikapigwaa toka juu mbona kiliwakaa palee...!! Ilikuwa jau sana aisee
 
Back
Top Bottom