yes amiri nondo nilimwona kawa meya! alikuwa na mshokaji wake madenge. nadhani nilisikia madenge amefariki. sijui kama ni kweli, dah!
Rwamkoma farming unit!!!....namkumbuka afande shekigenda na baiskeli yake imeandikwa "Let them say-Sheki"Mmmh!
Namkumbuka afande Mlay wa Buhemba na dettach ya Lwamkoma . . .
Ilikuwa ni kupalilia miraba ya pamba kwenda mbele. Huoni mwanzo wala mwisho wa shamba.
A worthwhile experience.
nakumbuka mgulani JKT, na kutoroka kwenye matundu ya senyeng'e, wee acha tu! asubuhi subuhi watu mko mtaani, giza likiingia you are back in the camp bila nomaa
yes hata mimi nlisikia madenge alifariki. hope utakua unajua co urio alifariki siku nyingi. nasikia hata akina nyundo na kibuyu walikwisha tangulia mbele ya haki. lkn sina hakika kwa hao wawili. hivi itakuaje kama kambi zitawaalika wote waliopita ktk hizo kambi kuzitembelea na kukutana na makamanda wao ambao bado wako hai hata kama watakua wameishastaafu?
yes hata mimi nlisikia madenge alifariki. hope utakua unajua co urio alifariki siku nyingi. nasikia hata akina nyundo na kibuyu walikwisha tangulia mbele ya haki. lkn sina hakika kwa hao wawili. hivi itakuaje kama kambi zitawaalika wote waliopita ktk hizo kambi kuzitembelea na kukutana na makamanda wao ambao bado wako hai hata kama watakua wameishastaafu?
Kweli kifo cha Abrahamu Maji kilisikitisha sana. Wengine nawakumbuka ktk kombania yenu ni akina John Mongela na Evarist Mashiba! Kuna mshikaji tulikua nae hapo F coy akiitwa Amir Nondo siku hizi ni Meya wa Manispaa ya Morogoro!
:majani7:Jamani Mgambo Kabuku mnapakumbuka? Namisi sana mihogo ya Gendagenda. Siku ya mziki ilikuwa mwisho wa mwezi wakati tunapokea alawance kunakuwa na mauzo ya pombe ya kienyeji ndani ya holli (mradi wa kombania) oooh I miss Boha. nakumbuka mchakamchaka wimbo unaosema Iddi amini alifa mimi siwezi kulia, nitamtupa Kagera awe chakula cha Mamba:majani7:. JKT oyyeeee!! Hawa vijana wa sasa wa Dot Com wanahitaji kweli wapelekwe huko wakajifunze maish
1993 ........ sio mafuriko lushoto?duh ... pale Makutupora 1993 operesheni vyama vingi ..... tuliiba zabibu nyeupe nakwenda kuzila mitunduruni ....
very interesting and uncovered now .....rais wa DRC Hon. Joseph kabila alikuwa Combania D....... wala hatukuwahi kujua yeye ni nani ..alikuwa mpole and very social
Nimemkumbuka sana CO Ruvu Lt Col Urio, Meja Chota, Mkuu wa Hospital Meja Omar, Ndugu angu CI Capt Othman, capt Nakuchema, Capt Nyoni.
Vipi akina Sir meja Urassa, Basekana, Mazani.
Ruvu ilikuwa Ruvu kweli enzi zile ingawa nilikaa muda mfupi.