Jamani naona bulombora nilikuwa peke yangu, mbona wote wamekaa kimya, lakini nimecheka sana loo oh Dunia imebadilika hivi, those were the daysunapakuliwa ugali, mchuzi wa nyama mwepesiii, na bonge ya fupa halina nyama, unauliza mbna umenipa mfupa mtupu? Unajibiwa kaumbe ng'ombe wako asiye na mfupa umlete tumpike
kutoka Ruvu kuja kuchukua vifaa mgulani, nilipata nusu saa ya kwenda kumuona mama yangu ( marehemu) , sijapata kuona akilia namna hiyo baada ya kuniona nilivyokuwa Mweusi na Mwembamba kama MpiniSitosahau siku nimetoroka kambini Mgambo jkt Tanga na kurud nyumban kwa issue ya kufuatilia chet changu cha 4m 4 kwa muda wa cku mbili na ya ta3 nikarud na kupigwa <doso> na private na kudek bweni kwa nguo nilizokuwa nimeva (green vest and pt short~bukta) nilijuta kuingia jkt na aliamua kunipeleka mahabusu na nikafunguliwa maxhtaka na kuhukumiwa kifungo cha week 2 na kaz ngumu <kulimia michungwa> nilinxhukuru mungu kumaliza mafunzo ya miez 6 mpaka xaxa nimekuwa axkari mzuri xana, jkt ni chombo ambacho kinakufanya unakuwa na uzalendo na nchi yako. JKT nzr karibun makamanda 2we weng.
mgambo nilikaa mwezi tu; kwani nilichangamkia bogi la maramba; ticket ilikuwa packet moja ya sigara-sm.
Maramba nilikuwa ikulu, kila week end tanga nyumbani; nikirudi mkate, sukari na sigara quater gurd ilikuwa kwa wengine wasikuwa na 'mm' kama hizo
dah mtoa Uzi umenikuna sana kwanza sababu Mimi hadi kwa sasa npo 832KJ op muungano. kwaio Mkuu unawapata kina Afande Shika, ndomba, skaponda, mgimbe,kaonde etc. vp kwa dosa?
Kumbe? Waislamu ameshawaahidi OIC na sasa anadhani anaweza kuwanunua Wakatoliki? Siasa za bongo bwana!
mkuu skaponda si alikua mgulani au wamemuamisha ?
ni kumbukumbu nzuri sana nimefurahi, japo ni muda wa miaka 35 tangu nitoke jkt, 831kj mafinga, op tija c coy