sodoliki
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,019
Jamani naona bulombora nilikuwa peke yangu, mbona wote wamekaa kimya, lakini nimecheka sana loo oh Dunia imebadilika hivi, those were the daysunapakuliwa ugali, mchuzi wa nyama mwepesiii, na bonge ya fupa halina nyama, unauliza mbna umenipa mfupa mtupu? Unajibiwa kaumbe ng'ombe wako asiye na mfupa umlete tumpike