nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 673
Kati ya matukio ninayokumbuka ni kuchoma chokaa.Kuna afande anajiita mjerumani! Kweli ni mjerumani maana ni sura ya mbuzi.Shikamoo 821kj burombola op kikwete 2015.Kumbuka sana kitengo na chokaa,kitengo magogo.
Mlale kwa afande lymoNaona Mlale tupo wachache sana huku ww utakua mtoto wa Mpuku.hahahaa
Dah noma sana watoto wa mpukuTupo Mlale Tupo. Afande Nguvu ya Nyani, Rweikiza. Sabuni, Mande, Chuma, Matron Grace na MWajuma Magagula na Lusonga sitaenda tena. Maafande wa Mlale watanisurubu! Dah Shamba la Embakasi. Ukarimu wa Wangoni watani zangu! Jamani ni kumbukumbu nzuri. Wimbo wangu daima ulikuwa ' Nimeuona mpilipili na maua yake nselema......' Ile nyumba ya mbao iliyokuwa ikihamishwa na Kuruta Dah!
Na lymoUmemsahau afande Matiku.. Mamaeee
Tupo mkuu ila mie op kikweteMlale JKT- ruvuma jamani mko wapi? Kwa wenyeji kule chakula kebekebe tena ugali mkubwa wa makuruta shurti kusongwa na wanaume. Halafu ugali bure mnanunua tu mboga- maarufu kule kiti moto. Embakasi shamba la mahindi. Unapewa palilia mistari 3 ambayo unaona mwanzo tu mwisho wake huuoni.
Maafande: Nguvu ya Nyani ( a.k.a yake), Rweikiza, madame Grace ( Matron), Afande Sabuni, Mwaipopo, Mande??, Chuma n.k!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka upigaji nyeto wa makundi wakati tukienda kuoga mtoni, yaani tulikuwa tunashindana nani anapiga nyeto Zaidi.
[emoji23] [emoji23] ....Ukijongo andaa nguvu sasa nyie nguvu hamna halafu mnadoji
Lazima mnuke mavi tu
Mm ni Op maisha bora wa 841 mafinga iringaHivi Humu Kuna Operesheni Maisha Bora Wa 821 Kj Burombola?
Bhana huuu wimbo, una nkumbusha tulikuwa tume doji chimbo moja hivi.nakumbuka wimbo wa ---Tutawakumbuka makamanda wetu waliokufa kwenye mapambano...
You are welcome mkuu.mmmh simpeleki mwanangu hata waseme hii ni ya kwa mujibu au kwa sheria...kama huko mbeleni kuajiriwa sifa kua na iko cheti chao, ajira ziko nyingi hata..makampuni na yeye atajiajir tu ila si kwa upuuzi huu!!
asante kwa kunifumbua
Hatari bravo coy mkipangwa shamba na wame mmeumia nawakumbuka kina mgeta kina agustino na yule ahadhi mnoko kishenzi[emoji2] [emoji2]Umenikumbusha B-Coy Mgambo JKT OP Kikwete 2015 mkuu.Kabeya alikuwa tall fulani hivi na English yake ya this time tomorrow.Wame nilikuwa simpendi kinouma maana jamaa alikuwa hatari sana kwa madoso na route za shamba.Matroni Beatrice alikuwa mrembo kinouma ila roho mbaya mamaeeeee.Kama kweli wewe ndio yule Amos basi nishakusoma mkuu.
Wapi GendaGEenda na Komsanga.
Wewe tulikuwa operation moja (NIDHAMU) tulianzia kambi tofauti lakini tukawa wote Maramba kwa major Urio kama sijakosea. Maramba uraiani tulikuwa tunatafuna nazi kama vile hatukuwa na akili nzuri!Duh, nilikuwa Mgambo JKT operesheni Nidhamu 1986/87 Kombania C kombania ya demo. Kabla sijaripoti pale ilikuwa nimepangwa kwenda Masange Tabora lakini ajabu siku mbili mfululizo train haikupita pale Korogwe station kumbuka tulikuwa tunapewa hati za kusafiria bure ikiitwa warrant.
Sasa siku ya pili nilikuwa na baba mzazi akatokea afande na kutuchangamkia ile mzee kusema tumekosa usafiri yule afande akaunganisha kuniambia njoo Mgambo kila kitu kipo kama ulaya nikakubali. Walitupokea kwa ukarimu na upole sana nadhani kwa kuona watu wengi walikuwa wanatoroka. Lakini lo mafunzo yalipofunguliwa ndipo tulipogundua jeshi siyo mchezomchezo.
Kisa kimoja kidogo ntakieleza hapa siku ya pili kambini tulipelekwa kusomba tofari na maji katika ndoo, sasa kuna kuruta raia mwenye asili ya kihindi alibandikwa ndoo ya maji kichwani, ilikuwa shida yaani ni kutetemeka na kuyumbayumba, basi afande akamkemea na kumwambia wewe kesho utatoroka, na kweli jamaa siku ya pili hatukumuona tena.
Kuna mikasa mingi sana fikiria ilikuwa ni mwaka mmoja siyo mchezo. Hata hivyo sijutii kupitia JKT kuna mengi yametujenga kuwa hivi tulivyo.
Nishakusoma, ww si ulikuwa ST ? mimi yule Doja ambaye siku ile tunagaiwa kombani nikairuka ile aliyonirushia ahadhi....mkala doso mlipo mzomea hahahaaha raha sana jkt...Hatari bravo coy mkipangwa shamba na wame mmeumia nawakumbuka kina mgeta kina agustino na yule ahadhi mnoko kishenzi[emoji2] [emoji2]
Duuuh.. shikamoo kaka hiyo 1987 ndio nimezaliwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wewe tulikuwa operation moja (NIDHAMU) tulianzia kambi tofauti lakini tukawa wote Maramba kwa major Urio kama sijakosea. Maramba uraiani tulikuwa tunatafuna nazi kama vile hatukuwa na akili nzuri!
ahaaa coy hizi noma sana afande hitler imeeleka hyo...Unaikumbuka kauli hii
''Leo chakula mtakula MBAUDA''