Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Migazini mmetulia sana madawili wetu nilikua nawatamania balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nyie service man nyie ila bonge la kambi linaamsha amsha zakuzidi sana kuogelea ziwa Tanganyika filimbi ikilia ole wako kuruti ubaki kwenye maji unaweza ukataga [emoji23][emoji23][emoji23]ila kingine kuwadekia vyoo duuh ukiskia sauti ya service unaamsha balaa unaenda kunya porini
 
Alawansi shs 60. Nasimamisha mnazi.. Nenda mpa ofa ya supu ya kongoro demu wangu. Tunabambwa na Afande Mwaibale.. Kombati hadi kwenye meno.. Tunarudishwa usawa wa kombania tunakuta makuruta wako disco. Mimi na vidume wengine tunaanza kusulubiwa mbele ya wa totoz wetu.. Tunakula pushapu hadi kongoro yote inatoka.. Disco linaendelea totoz wetu wanaanza kulia kwa suluba tunayopata mbele yao..
 
Mpaka leo chenja zangu zipo kwenye email Nikiwa na vibe naskiliza
 
[emoji23][emoji23] Harafu mkuu mimi sio wakujitolea , ni mujibu wa sheria tuliomaliza six 2015 japo kuna wakujitolea walitukuta tunakula kozi na kina Ngutanyi wakaliunga tulivyomaliza tukawaacha wakujitolea wanaendelea na bahati mbaya baadhi yao walipata ajali kwenye IVECO la Sabufa.
 
Nikiwa sina akili TIMAMU vizuri Fresh from Chuo nilitamani kweli kwenda JESHINI,nikafanya kila kitu ila mi TATOOO yangu ilinikosesha Fursa na mpaka leo sijajua ni kwanini TATOOO hairuhusiwi Jeshini wakati Majeshi ya wenzetu wanajeshi zao wana mi Tatooo kila mahali..

Hata hapa BONGO nina wenzangu walioendaga na leo hiii nmekutana nao wana TATOOO za kutosha miilini mwao nashindwa elewa hiii kitu imekaaje wakati wa USAILI.

Sema katika vitu namshukuru MUNGU ni kutofanikiwa kuingia JESHINI maana nina uhakika 100% ningetorokaga...

Wanajeshi Hongera na pongezi yenu,hata mlipwe milioni 100 kwa LISAA sitokaa nitamani Kuwa mjeda...NEVER
 
Poleni kweli mkuu tuliikuta hio story ila sabufa simuamini kabisa sio wakumpa Gari kwanza uendeshaji wake uraiana angekua kafariki kumbe ni mujibu washeria mkuu wakambi alibadirishwa ila aliekuja mpigaji hatari tunasaign tumekula 3000 lakini ukipiga hesabu umekula ugali full tena namarage full mpaka siku yakumaliza [emoji23][emoji23][emoji23]jeshini kunauwizi sana yaani jamaa hatari sana
 
Kanole ndo C.O siku hizi pale bulombora
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah hii imeifanya siku yangu kuwa nzuri
 
Mmh ! Msosi ulikuaje??

Sisi tangu day one ni ugali nyama mchana kila siku mpaka tunamaliza, usiku ni wali maharage na chai asubuhi ni mkate wa mzabuni na chai.

Namaanisha hapa ni kila siku ratiba iko hivyo.


Siku ya kumaliza tulitandika vinywaji saba, nauli za kurudi na buku 10 ya kula njiani kama unaishi mkoa unaotumia masaa zaidi ya 6 njiani.

2015 hiyo lakini Mkwere alikua yupo mjengoni (kabla ya uchaguzi)
 
Kwenye nauli namaanisha ya kwendea Kigoma waliturudishia ila kurudi majumbani tulipandishwa mabasi yalitufuata palepale kikosini.
 
Mzee, mwaka 1977, hongera!
 
Operation NIDHAMU kama mpo tukumbushana jamani
 
Wale tunaotarajia kwenda keshokutwa hapo vipi tunaruhusiwa kucoment?
 
Mlahagwa huyo.
 
Hahahahah dah C.O MMARI rest easy soldier.... Mzee alikuwa mbabe sana..
 
Nilipita pale ila 2017 mkuu. Sehemu saafi kabisa Operation Tanzania ya Viwanda
Safi sana, Nadhani kuna maendeleo makubwa sana kwenye kambi ile. Hivi mradi wa umeme kwenye maporomoko ya mto embakasi uliishakamilika?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…