NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
Migazini mmetulia sana madawili wetu nilikua nawatamania balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nyie service man nyie ila bonge la kambi linaamsha amsha zakuzidi sana kuogelea ziwa Tanganyika filimbi ikilia ole wako kuruti ubaki kwenye maji unaweza ukataga [emoji23][emoji23][emoji23]ila kingine kuwadekia vyoo duuh ukiskia sauti ya service unaamsha balaa unaenda kunya porini
[emoji23][emoji23]Daah Chokaa nilibanwa gogo nusu ya kufa kisha nikala stiki za Mjerumani..
Serengeti wanakula sana mkunyenge siku ya kuhitimu.
Hivi CO mlikuta Mketo au alibadilishwa.?
RSM mtata : Mundeba daah mixer MP wa main gate Akyoo na kiherehere na mzenji.
Migazi na kuiba mapapai kule bustani 821kj sio poa .