Sanctus Mtsimbe,
Wengine tulikosa jeshi kwasababu ya sheria kuwa ilishafutwa lakini hapo Same Secondary napo ilikuwa kama jeshi tu.
Jkt ngumu iliishia op sensa,Jkt ya morali iliishia op kikwete.kuanzia op magufuli ni siasaJKT Imeishia kwa hawa madogo wa op magufuli,op za mbele hizi za kawaida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale palikua wanaishi ngamiaSanctus Mtsimbe,
Wengine tulikosa jeshi kwasababu ya sheria kuwa ilishafutwa lakini hapo Same Secondary napo ilikuwa kama jeshi tu.
Akitanda nimesoma nae bachelor alikua na gari yake ndogo corola tumepanda sanaaMzee umenikumbusha Chahe aiseee. Huyu jamaa ana roho mbaya Malaika mtoa roho akasome. Ana rafiki yake ngaugula Ni wanna sijapata ona.
Akitanda alikuwa poa sana, Mara kibao amenibeba pale ruvu.
Ungeishia kuliwa kimasihara tu na macoplo nyang'au
Hyo ya morali ndo ikojeJkt ngumu iliishia op sensa,Jkt ya morali iliishia op kikwete.kuanzia op magufuli ni siasa
Maramba jkt,op gani ww...na mm nilipita hapo kamanda838kj yaaani full moralii..pale afande Oc chilolo..sir major nguka..
Yeah!! We made it
Sent using Jamii Forums mobile app
I mean vijana walikuwa na morali huku ikichagizwa zaidi na jinsi walivyokuwa wakihudumiwa,kuanzia chakula kilikuwa kizuri,mavazi walipewa bure baada ya kuripoti kambini pamoja na vifaa kama neti,viatu nk.Hyo ya morali ndo ikoje
Mkuu pale ni taabu mbaya kabisa. Sijui kuhusu sasa hivi, lakini yale mazingira yalikuwa ni zaidi ya boot camp!😀
Haya mkuu hongera. Kuna mabadiliko yoyote? Shida ya maji bado iko? Mnaenda “stesheni” kugombea maji na wafungwa? Mlima wa kwa koko ushaenda? Kuchanja kuni porini?😀