Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Daaah ule mtndo wa kukesha ulikuwa nuks sna nakumbuka ilikuwa mchana tupoo chin ya mti tunapewa pindi la silaha kuna jamaa nilikae nae pemben akawa ananiambia oii mwanang unacnzia wakati mimi nillikuwa najiona fresh kila muda jamaa akawa ananistua mwsho nikaona sio poa yaan mtu ananiamba nasinzia wakati mimi najiiona nipo macho

#Utamaduni
 
Idofi
Nimekujua... Huhuhu mimi nlikua mujibu wa sheria pale OP-MAKAO MAKUU DOM
Nakumbuka wengine waliruka kukimbia kibogi cha CHITA wakiogopa kuvuna mpunga
 
Mzee umenikumbusha Chahe aiseee. Huyu jamaa ana roho mbaya Malaika mtoa roho akasome. Ana rafiki yake ngaugula Ni wanna sijapata ona.
Akitanda alikuwa poa sana, Mara kibao amenibeba pale ruvu.
Akitanda nimesoma nae bachelor alikua na gari yake ndogo corola tumepanda sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo ya morali ndo ikoje
I mean vijana walikuwa na morali huku ikichagizwa zaidi na jinsi walivyokuwa wakihudumiwa,kuanzia chakula kilikuwa kizuri,mavazi walipewa bure baada ya kuripoti kambini pamoja na vifaa kama neti,viatu nk.
 
Back
Top Bottom