Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

kale kamsemo Cha kuambiwa kulala kwenye sofa,kumbe unalala ndani ya tank la maji[emoji23][emoji23]
Jamaa alitaka kuongea na Mama ake Afande akamwambia subiri niweke Vocha baadae utapiga simuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila maafande mizinguo sana jamaa alipiga simu saa lizimaaa dadekii mpaka akaanza kulia.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Safi sana.
 
Tuliopita Mgambo - Kabuku Tanga Tujuane hapa, nime miss machungwa kule shambani bondeni lol.
Nina visa kadhaa pale mgambo jkt.
Kuna afande mmoja alikuwa anaitwa mjerumani huyo, kuna siku aliwalisha watu malimao na maganda yake huku akisema "kurutu" nataka nione mbegu tu hapo chini.
Sababu ikiwa ni ile ya kula machungwa yale yaliyopo barabara ya kuelekea kwenye mahanga ya madawili sitasahau ile moment.
 
Mwaka gani Afande?
 
DANGER COY nipo hapa we ulikuwa kujitolea ?
 
Nilikuwa sipendi Mabio ya kupitia kule Rest house mpaka kwa msange na kurudi yanii aisee... sema baadae nikafanikiwa kudoji mabio mamaee yalinikausha sanaa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Niliacha biashara zangu mtaani nikaenda kujitolea 835kj nashukuru MUNGU kwa uamuzi sahihi niliofanya.
 
Six week ile nikikumbuka nlivolala juu ya makaburi ya wakimbizi pale 824kj kanebwa nhsikia kufa ganzi
Op gani mkuu? Kuna wakati napamisi aisee. Sehemu pekee palioo nikomesha. At the moment ilikua worst experience but now napakumbuka. Hasa Afande Nyang'anyi, daka Nyama, magesa Na sir meja Wa kikosi Na lipikipiki lake. Watu wakisiki sauti ya pikipiki lake wanageuka Na kutoa salamu. "Jambo Afande".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…