Jobless graduate
Member
- Apr 1, 2019
- 96
- 135
Kwahiyo ww ulikuwa kombania ganiNdio hilo,lile anga lilikuwa na mchanganyiko wa combania kama tatu hivi yaani tukawa na kautawala ketu mimi ndo ni kawa ST mule...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ww ulikuwa kombania ganiNdio hilo,lile anga lilikuwa na mchanganyiko wa combania kama tatu hivi yaani tukawa na kautawala ketu mimi ndo ni kawa ST mule...
Jamaa alitaka kuongea na Mama ake Afande akamwambia subiri niweke Vocha baadae utapiga simuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila maafande mizinguo sana jamaa alipiga simu saa lizimaaa dadekii mpaka akaanza kulia.kale kamsemo Cha kuambiwa kulala kwenye sofa,kumbe unalala ndani ya tank la maji[emoji23][emoji23]
Yale machungwa hayajawahi kukomaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngurutuu wanavamiaa yakiwa mateta kabisa yani. Ulikuwa kombania gani??Tuliopita Mgambo - Kabuku Tanga Tujuane hapa, nime miss machungwa kule shambani bondeni lol.
Jibu ni tag.Kulikuwa na Operesheni Oljoro? Ilikuwaje hapo Mafinga? Mwaka gani?
Safi sana.siku moja mkuu wa kikosi lt col Meena wa Ruvu 832kj mwaka 1986 alikamata makuruta walikuwa wanatoroka.Akawapakia kwenye gari lake nyuma magari wakati huo yaliitwa Dube.Akawa anawaendesha kuwapeleka kikosini wakapewe adhabu cha ajabu alivofika kati ya waliokamatwa wa5 wanne hawakuwepo waliruka kwenye gari wakakimbia akabakia mmoja tu.
Akasema hawa ndio askari hata vitani wakikamatwa ni raisi kumkimbia adui.
Yule aliyebaki akaambiwa sasa wewe utabeba adhabu za wenzako wote maana ni askari rahisi sana kukamatwa na adui kisha ukaenda kutoa siri wewe ni askari legelege.
Kwahiyo ww ulikuwa kombania gani
Nina visa kadhaa pale mgambo jkt.Tuliopita Mgambo - Kabuku Tanga Tujuane hapa, nime miss machungwa kule shambani bondeni lol.
Nipo hapa B coy ya demo OP Kikwete- CO Maj Kanole, kule Maj James, luten Mpume, Luten Lwaga , Luten Karinga , Chenja za MP Paul mzee wa Anita,afande mataly,copro mayai,Tuliopita Mgambo - Kabuku Tanga Tujuane hapa, nime miss machungwa kule shambani bondeni lol.
Basi tulikuwa wote mkuu kwenye hiyo kombaniaDanger coy,ya mzee mwanja
Mwaka gani Afande?Jkt kanembwa 824 kj Afande CO bwegoge,
Chief instructor alikua Captain sebastian Tesha saivi ni major.
Kulikua na Luteni Mwakyobwe akahamishiwa mtabila afande mpenda kuruti ni major sasa uyu jamaa.
Private Marwa asee pt instructor
Marehemu magesa mboje mzee wa doso jamaa alikua anajipiga doso mweyewe anaruka uchura kilometer nne kutoka nduta hadi maini gate.😂😂😂
DANGER COY nipo hapa we ulikuwa kujitolea ?Mkuu ni 835 KJ sio 832 KJ,
Op ya miaka 50 ya Muungano hapo hapo Mgambo, enzo hizo mzabuni ni Kimbinyiko,
CO ni Meja kanole, captain ni Mberenje, Luteni Masalu RSM muuya, afande mkorofi alikuwa kashoza, Sam na Tungu (MP)
Tumevuna sana mahindi
Tumekula sana dose
Tumenyeshewa sana mvua
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
OP muungano mzee KAYANGE hakuwa MR RSMHuyo RSM ndiyo yule mwenye pengo??
Kulikuwa pia na Mjerumani
MKWAYU sio MKAYU ,IDDY MSANZAGIMaisha yangu niliangushia sana baada ya kuchaguliwa kuwa karani ila nilipoenda kwata ndiyo niliona mziki, nilijua kwata ni kitu rahisi... Stiki za kufikia tu.
Ulikuwa unamfahamu Msanzagi??
Matonya??
Mkayu??
Niliacha biashara zangu mtaani nikaenda kujitolea 835kj nashukuru MUNGU kwa uamuzi sahihi niliofanya.Nilikuwa sipendi Mabio ya kupitia kule Rest house mpaka kwa msange na kurudi yanii aisee... sema baadae nikafanikiwa kudoji mabio mamaee yalinikausha sanaa
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Op gani mkuu? Kuna wakati napamisi aisee. Sehemu pekee palioo nikomesha. At the moment ilikua worst experience but now napakumbuka. Hasa Afande Nyang'anyi, daka Nyama, magesa Na sir meja Wa kikosi Na lipikipiki lake. Watu wakisiki sauti ya pikipiki lake wanageuka Na kutoa salamu. "Jambo Afande".Six week ile nikikumbuka nlivolala juu ya makaburi ya wakimbizi pale 824kj kanebwa nhsikia kufa ganzi
Mkwayu alikuwa jamaa mrefu anapenda sana kwata. RSM kayange alikuwa anapenda kusema ukiharisha jua umekula m*vi mabichii.MKWAYU sio MKAYU ,IDDY MSANZAGI