Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Ahahaha anakwambia "kula ushibe blaza naaamini na nguvu unazo ndo maana unanifanyia haya matusi" ila nilitoka hai kabisa
 
Ahahaha anakwambia "kula ushibe blaza naaamini na nguvu unazo ndo maana unanifanyia haya matusi" ila nilitoka hai kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah ndio yalikuwa maneno yake hayo "nguvu"!! Na kilivyokuwa kikavu na sura ngumu mpaka mwenyewe unaogopa!! Kuna wana walimdoji akawakamata, shughuli + kichapo walikula mpaka wana walikuwa wanasimama wanatetemeka lakini hakuwaacha, yani ni mazoezi makali yakisindikizwa na makonde mazito kimya kimya,unasikia sauti za makonde na magoti tu yakijikunja, huku sisi wengine tunaendelea kuhenya na kilikuwa kipindi mvua tope mpaka kichwani lakn mwana anasimamia show kote kote kama uefa na anakwambia kabisa kama wew mwanaume na unajiamini una nguvu tegea hata push up moja uone daah[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!! Ile siku kulikucha nikaangalia mawinguni nikasema kweli Mungu yupo hakuna kitu nilifurahi kama nilivyoliona jua kesho yake!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana mkuu sipati picha kazi uliyokula[emoji23][emoji23][emoji23]. Yule mwamba alitunyanyasa sana, nakumbuka tulikuwa na huyo mwana alikuwa fundi wa kubast, yule mwamba alikuwa pro kwenye hiyo harakati na shakipele sifa nyingi na kupiha

Wa


Kipele sifa kibao hamna kitu.Nilimkubali Jrokta na Sir meja awadhi wa B coy na baadae akahamua c coy 2015.Ila pale mgambo wale d coy walikuwa wanakula kazi aisee.Bravo sisi ilikuwa wa mwisho kulala ***** kina wame ,matalya,kabeya ...wenzetu wanalala saa 4 unasikia shangwe tu wanakimbia kulala ila sisi bravo mpaka saa sita.



Nilipata matron nikawa namt..mbea Kota kwake wa palepale bravo op Kikwete- 2015
 
Nilikuwaga hapo msange jkt 823kj mwaka 2013 ya kujibu. OP miaka 50 ya jkt. Pale msange tulipigishwa sana kazi nyingi ila uzuri tulikuwa tunalishwa vizuri tu.

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kambi ni kiboko tz nzima,. Kaka angu alienda pale kwa mujibu wa sheria, siku anarudi, mie, mama, na dada zangu tulilia km tunefiwa, kaka anarudi haeleweki yaan akisinulia mateso yake. Hapan kwa kweli lol.
Na wewe ulienda kambi ipi?
 
[emoji23]
 
Ulienda tripu ya march au ya June? Mi nilienda ya June sijasahau mpaka leo. Mtoto wangu Wa kiume ataenda fresh ila Wa kike haendi ng'oo. Nilishuhudia mengi.
Ilikua mwezi June hadi September, aisee sitosahau 😀🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…