Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,313
BulomboraKanembwa sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BulomboraKanembwa sio
Nimeumia sana hapo821 KJ. Uwanja wa damu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhanaahSiyo dhambi kujuana [emoji3]
Kwakweli basi tyuuh, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]aisee hali ilikuwa ngumu sana
Ahahaha anakwambia "kula ushibe blaza naaamini na nguvu unazo ndo maana unanifanyia haya matusi" ila nilitoka hai kabisaPole sana mkuu sipati picha kazi uliyokula[emoji23][emoji23][emoji23]. Yule mwamba alitunyanyasa sana, nakumbuka tulikuwa na huyo mwana alikuwa fundi wa kubast, yule mwamba alikuwa pro kwenye hiyo harakati na shambani alikuwa nadra kuonekana, kipe alikuwa anamlia timing tu na yule jamaa hakuna kitu alikuwa anachukia kama kubast zamu yake, kuna siku alimkamata vizuri anabast, yule jamaa aliambiwa ale mpaka ashibe kabisa tani yake[emoji23], shuruba aliyopata kutoka kwa huyo katili hakuna mtu alitamani kubast tena hasa zamu ya kipele, nilijikuta tu nikila mkate mmoja nashiba kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani ikiwa zamu yake hata wazo la kubast haliji!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah ndio yalikuwa maneno yake hayo "nguvu"!! Na kilivyokuwa kikavu na sura ngumu mpaka mwenyewe unaogopa!! Kuna wana walimdoji akawakamata, shughuli + kichapo walikula mpaka wana walikuwa wanasimama wanatetemeka lakini hakuwaacha, yani ni mazoezi makali yakisindikizwa na makonde mazito kimya kimya,unasikia sauti za makonde na magoti tu yakijikunja, huku sisi wengine tunaendelea kuhenya na kilikuwa kipindi mvua tope mpaka kichwani lakn mwana anasimamia show kote kote kama uefa na anakwambia kabisa kama wew mwanaume na unajiamini una nguvu tegea hata push up moja uone daah[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!! Ile siku kulikucha nikaangalia mawinguni nikasema kweli Mungu yupo hakuna kitu nilifurahi kama nilivyoliona jua kesho yake!!Ahahaha anakwambia "kula ushibe blaza naaamini na nguvu unazo ndo maana unanifanyia haya matusi" ila nilitoka hai kabisa
2014 miaka inakimbia arooMwaka gani Afande?
Mtu safi sana yule MnyakiHuyu Mwakyobwe ni jamaa yangu sana.
Hapendi mtu aonewe
Basi tulikuwa wote mkuu kwenye hiyo kombania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah ndio yalikuwa maneno yake hayo "nguvu"!! Na kilivyokuwa kikavu na sura ngumu mpaka mwenyewe unaogopa!! Kuna wana walimdoji akawakamata, shughuli + kichapo walikula mpaka wana walikuwa wanasimama wanatetemeka lakini hakuwaacha, yani ni mazoezi makali yakisindikizwa na makonde mazito kimya kimya,unasikia sauti za makonde na magoti tu yakijikunja, huku sisi wengine tunaendelea kuhenya na kilikuwa kipindi mvua tope mpaka kichwani lakn mwana anasimamia show kote kote kama uefa na anakwambia kabisa kama wew mwanaume na unajiamini una nguvu tegea hata push up moja uone daah[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!! Ile siku kulikucha nikaangalia mawinguni nikasema kweli Mungu yupo hakuna kitu nilifurahi kama nilivyoliona jua kesho yake!!
Pole sana mkuu sipati picha kazi uliyokula[emoji23][emoji23][emoji23]. Yule mwamba alitunyanyasa sana, nakumbuka tulikuwa na huyo mwana alikuwa fundi wa kubast, yule mwamba alikuwa pro kwenye hiyo harakati na shakipele sifa nyingi na kupiha
mbani alikuwa nadra kuonekana, kipe alikuwa anamlia timing tu na yule jamaa hakuna kitu alikuwa anachukia kama kubast zamu yake, kuna siku alimkamata vizuri anabast, yule jamaa aliambiwa ale mpaka ashibe kabisa tani yake[emoji23], shuruba aliyopata kutoka kwa huyo katili hakuna mtu alitamani kubast tena hasa zamu ya kipele, nilijikuta tu nikila mkate mhiba kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani ikiwa zamu yake hata wazo la kubast haliji!!
Nilikuwaga hapo msange jkt 823kj mwaka 2013 ya kujibu. OP miaka 50 ya jkt. Pale msange tulipigishwa sana kazi nyingi ila uzuri tulikuwa tunalishwa vizuri tu.Nimekumbuka msange Tabora OP Kikwete 2015, E coy chini ya OC Jomo, na Sir major Mudo, kuna siku tulikuwa tunapanga tanuru ile tunamaliza akapita luteni mmoja hivi jina limenitoka akatwambia hilo eneo tulilo panga Tanuri hapatakiwi kuchomea hapo tofari kwahiyo tupangue tuhamishe tofari na tupange upya, alafu hapo jua limewaka balaa niliishiwa nguvu nakujilaani, ila nilivyozoea mazingira nikaanza kudoji, maisha ya Msange vyoo hakuna tunajisaidia kwenye shamba la mahindi, nilivyoona shida zinazidi nikajiunga ngoma COY huko nikuimba tu na kukata mauno na wagonjwa wa kudumu nimemic sana Mesi kwa afande Mafleta, maisha ya JKT yalinijenga naweza kuishi sehemu yoyote iwe mjini au kijijini
Ulienda tripu ya march au ya June? Mi nilienda ya June sijasahau mpaka leo. Mtoto wangu Wa kiume ataenda fresh ila Wa kike haendi ng'oo. Nilishuhudia mengi.Kurutas mpoo! Mi nilikua kuruta mujibu wa sheria 2013 dah nimemiss that jkt life🤔
Nilienda June 2013. OP 50 years of JKT2014 miaka inakimbia aroo
Na wewe ulienda kambi ipi?Hiyo kambi ni kiboko tz nzima,. Kaka angu alienda pale kwa mujibu wa sheria, siku anarudi, mie, mama, na dada zangu tulilia km tunefiwa, kaka anarudi haeleweki yaan akisinulia mateso yake. Hapan kwa kweli lol.
[emoji23]Hapo 835KJ Mgambo, baada ya doso la siku nzima wazalendo tulikuwa hangani tunapiga soga, matusi na story za hapa na pale, kumbe kuna maafande wanasikiliza kwa nje, mdudu sijui kinachoendelea nimejilaza kitanda cha kwanza juu kutoka lango la hanga, kumbe kuna afande kaingia kimya kimya akanishika upara kisha akapiga kibao kisicho na maumivu.. Kurutu si nikajua ni mdudu mwenzangu ananiletea za kuleta, nikaropoka "Usishike kichwa tu kisha unaacha, njoo ushike na MBOO"
Kilichofuata Service Boys mnajua [emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]
Ilikua mwezi June hadi September, aisee sitosahau 😀🙌Ulienda tripu ya march au ya June? Mi nilienda ya June sijasahau mpaka leo. Mtoto wangu Wa kiume ataenda fresh ila Wa kike haendi ng'oo. Nilishuhudia mengi.
sijafuatiliaga ila nasikia doja wa malindo
OP.ganiWew jamaa tulkua kombania moja,naweza Kia nakukumbuka....mimi ndo yule doja niliwalaza sa 8 zamu ya afande Bruno [emoji3][emoji3]