Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

 
Katika moment ambazo nazikumbuka sana na zina nifurahisha ni za jeshin ,intakeOperation kikwete kwa mujibu 2015 ya msange G coy
Nakumbuka Siku ya kwanza kukesha ilivyo fika saa 10 afande shikorobo akaturuhusu twende hangan tukachukue vifaa vya usafi akutupa kama nusu saa hiv sasa mm nmefika hangan nikasema ngoja ni pumzike kidogo ndo then ndoo niende kwenye kazi niko na viatu vyangu nikatandika blanket nikalala ebana eeh kuja kushtuka 12 tena nmeshtuliwa na service man hanga zima niko pekee yangu nilioogopa niakasema leo nmeisha nika nite tea tea akaniuliz una umarufu gan mpka unalala mpka sasa hz au mtoto wa mwamnyange au umekaangia mungu mayai baada ya kulia lia sana akaniseme
 
Haha hapo nimewafahamu
1 Ambari
2.Mushi
3.Tarimo

Naona mkuu wa kikosi kabadilishwa ..mimi nimepita hapo 2015.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umekaangia Mungu mayai.

jeshi bana,ndio maana watu wakilikosa wanadata.
mtu unakorogwa hivi halafu unaachwa tu.
 
Mm historia yangu mafinga 841kj op muungano A coy dah R I P Matron Tinda oc mm nilikuwa kudoji mpaka uzuri nilikuwa mvumilivu kwenye kazi za watu kuna siku muda wa mafunzo nikaenda kulala kwenye gogo za jikoni nilifurahi show.
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…