Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Hili jeshi kama la china....mliangushia kinoma
 
Hahaa huyo mzee alikuaga muongo muongo mtu wa story sana [emoji3]

Anasimamia bustani na shamba la miti.

Alikuaga sergeant hivi?
Yes nahisi nshawahi muona pale Mafinga wakati fulani hivi cjui kama bado yupo au kastaafu
 
Hapana kaka mie wa juzi tu hapa 2017 pale 841
Wakati nikiwa Jakarta wewe ulikua hujazaliwa.
Pole sana. Nasikia jkt ya Sasa watu wanatumia toilet paper, wamama wanatumia pampas kwenye siku zao. We enzi hizo hakuna kitu pampas Wala toilet paper Wala matumizi ya maji chooni. Kuna majani Fulani yalikua very handy.. Wadada walikua wanakaa Serengeti mpaka mashine zikauke ndio waje kombania.
 
Mkuu sie tumejenga hata Yale majengo mapya sijui ni utawala au madarasa
 
Duuuuh aiseee poleni[emoji23][emoji23]

Mlipoteza wenzenu wangapi
 
Ma service girls na service men wa 841kj ,2017 nimewamiss sana aisee yale maisha kama yajirudiee Tena.
 
Mbona unaelezea kama miaka ya themanini wakati ruha imeanza juzi tu 846KJ
 
Daaaah we jamaa hao makatili, Rambo alishanipiga Kofi kwenye kwata mzeee[emoji23][emoji23]

Palikuwepo na Afande Devi, Afande Namwao

Ila Cpt Moshi amefariki mwaka Jana mkuu
We acha basi moshi kafariki?aliumwa ama ilikuwaje mshikaji wangu sana yule nilhama kambi tukapotezana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…