Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Kuamka saa 9 [emoji3064]

hapo kombania umetoka may b saa 6 coz mmechelewa kuhesabiwa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

but jeshi ni kuzuri sana kama huna kiburi nimepamiss sana[emoji13][emoji13]

nimemiss mihogo[emoji2][emoji2] yaan tulikua yunalazimisha kwenda tu route flan kisa tu kule wanauzaga mihogo na kachumbari tamu sana so hapo baada ya majukumu unajibless kama hivo

na vitumbua hasa vya matron afande and usiombe maafande wawe wanakupenda i mean upendo tu kama kuruti utaenjoi Saaana[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Hili jeshi kama la china....mliangushia kinoma
 
Hahaa huyo mzee alikuaga muongo muongo mtu wa story sana [emoji3]

Anasimamia bustani na shamba la miti.

Alikuaga sergeant hivi?
Yes nahisi nshawahi muona pale Mafinga wakati fulani hivi cjui kama bado yupo au kastaafu
 
Hapana kaka mie wa juzi tu hapa 2017 pale 841
Wakati nikiwa Jakarta wewe ulikua hujazaliwa.
Pole sana. Nasikia jkt ya Sasa watu wanatumia toilet paper, wamama wanatumia pampas kwenye siku zao. We enzi hizo hakuna kitu pampas Wala toilet paper Wala matumizi ya maji chooni. Kuna majani Fulani yalikua very handy.. Wadada walikua wanakaa Serengeti mpaka mashine zikauke ndio waje kombania.
 
841 kikosi cha jeshi [emoji3577] [emoji41]

Fyatua sana tofali kule mlima nguruwe *****

Ushawahi fika kwenye ile nyumba waliomjengea cdf Mwamunyange ile njia kama unaenda idetero? Tulichoma sana kuku wa jeshi kule.

Sema kwa ngazi ya mujibu/kujitolea 841 pa kibabe sana,.. Wengine wote wakina Karma mliangushia kozi tuu [emoji3]
Mkuu sie tumejenga hata Yale majengo mapya sijui ni utawala au madarasa
 
Wakati nikiwa Jakarta wewe ulikua hujazaliwa.
Pole sana. Nasikia jkt ya Sasa watu wanatumia toilet paper, wamama wanatumia pampas kwenye siku zao. We enzi hizo hakuna kitu pampas Wala toilet paper Wala matumizi ya maji chooni. Kuna majani Fulani yalikua very handy.. Wadada walikua wanakaa Serengeti mpaka mashine zikauke ndio waje kombania.
Duuuuh aiseee poleni[emoji23][emoji23]

Mlipoteza wenzenu wangapi
 
Ma service girls na service men wa 841kj ,2017 nimewamiss sana aisee yale maisha kama yajirudiee Tena.
 
Mimi warrant nikiitumia wakati wa bogi from Msange CTS (central training school zilikua nane tu enzi hizo) kwenda Luwa kambi ya mkoa. Kutoka Luwa kurudi uraiani walinipa cash money.
Nikapanda TRC bus kutoka S'wanga mpaka Mbeya. 12 hours.
Kutoka Mbeya Sasa ndio enzi zile Scandinavia Zina Anza Anza. Bus refu mlango wa abiria katikati. Enzi hizo hakuna tochi, Wala gavana Wala trafiki maana safari Ni usiku.
Mby Kuna madereva aisee. Hii route ya Arusha Dar Ni wanafunzi Tena wa VETA. Wazee waliotoka usafirishaji wako route ya mby Dar.
Hatahuku kwa wasukuma Mwanza hakuna madereva wa mabasi.
Toka mby jioni kumi na moja alfajiri tuko mnazi mmoja. (Stendi kuu enzi hizo) kwa mabasi ya mby songea TANGA na Iringa.
Usweken stend zao zilikua kariakoo. Moshi na Lindi mtwara na mafia Ni kisutu.
Mbona unaelezea kama miaka ya themanini wakati ruha imeanza juzi tu 846KJ
 
Daaaah we jamaa hao makatili, Rambo alishanipiga Kofi kwenye kwata mzeee[emoji23][emoji23]

Palikuwepo na Afande Devi, Afande Namwao

Ila Cpt Moshi amefariki mwaka Jana mkuu
We acha basi moshi kafariki?aliumwa ama ilikuwaje mshikaji wangu sana yule nilhama kambi tukapotezana
 
Back
Top Bottom