Dennis_Ritchie
Member
- Oct 5, 2021
- 14
- 9
Afande kumtaka demu, demu akizingua wote mnakula doso.
Ilikua inakera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afande kumtaka demu, demu akizingua wote mnakula doso.
Na yule Mzee wa taka yako sio taka yetu taka yetu ndio taka na tutaisimamiaSifa kujaza ndoo kurutu [emoji3]
Hili jeshi kama la china....mliangushia kinomaKuamka saa 9 [emoji3064]
hapo kombania umetoka may b saa 6 coz mmechelewa kuhesabiwa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
but jeshi ni kuzuri sana kama huna kiburi nimepamiss sana[emoji13][emoji13]
nimemiss mihogo[emoji2][emoji2] yaan tulikua yunalazimisha kwenda tu route flan kisa tu kule wanauzaga mihogo na kachumbari tamu sana so hapo baada ya majukumu unajibless kama hivo
na vitumbua hasa vya matron afande and usiombe maafande wawe wanakupenda i mean upendo tu kama kuruti utaenjoi Saaana[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Ulikua OP OKOA AU NIDHAMU?[emoji23][emoji23][emoji23]simpati mkuu
Hahaa huyo mzee alikuaga muongo muongo mtu wa story sana [emoji3]Na yule Mzee wa taka yako sio taka yetu taka yetu ndio taka na tutaisimamia
Hapana kaka mie wa juzi tu hapa 2017 pale 841Ulikua OP OKOA AU NIDHAMU?
Yes nahisi nshawahi muona pale Mafinga wakati fulani hivi cjui kama bado yupo au kastaafuHahaa huyo mzee alikuaga muongo muongo mtu wa story sana [emoji3]
Anasimamia bustani na shamba la miti.
Alikuaga sergeant hivi?
Unamkumbuka afande BrekiHahaa huyo mzee alikuaga muongo muongo mtu wa story sana [emoji3]
Anasimamia bustani na shamba la miti.
Alikuaga sergeant hivi?
Simsomi huyo bossUnamkumbuka afande Breki
Afande flani hivi alikuwa na mark 2 cjui x ya silver ,tall mwembamba afu white anamiguu imepinda hivi.Simsomi huyo boss
Wakati nikiwa Jakarta wewe ulikua hujazaliwa.Hapana kaka mie wa juzi tu hapa 2017 pale 841
Weweeee.Afande flani hivi alikuwa na mark 2 cjui x ya silver ,tall mwembamba afu white anamiguu imepinda hivi.
Alicheza kwata ile tunavomaliza akiongoza
Mkuu sie tumejenga hata Yale majengo mapya sijui ni utawala au madarasa841 kikosi cha jeshi [emoji3577] [emoji41]
Fyatua sana tofali kule mlima nguruwe *****
Ushawahi fika kwenye ile nyumba waliomjengea cdf Mwamunyange ile njia kama unaenda idetero? Tulichoma sana kuku wa jeshi kule.
Sema kwa ngazi ya mujibu/kujitolea 841 pa kibabe sana,.. Wengine wote wakina Karma mliangushia kozi tuu [emoji3]
Duuuuh aiseee poleni[emoji23][emoji23]Wakati nikiwa Jakarta wewe ulikua hujazaliwa.
Pole sana. Nasikia jkt ya Sasa watu wanatumia toilet paper, wamama wanatumia pampas kwenye siku zao. We enzi hizo hakuna kitu pampas Wala toilet paper Wala matumizi ya maji chooni. Kuna majani Fulani yalikua very handy.. Wadada walikua wanakaa Serengeti mpaka mashine zikauke ndio waje kombania.
Sasa nyie si nizamani mkuu sie tumeenda mambo slope[emoji1]Weweeee.
Umekwenda jeshi maafande Wana magari???
Enzi zetu ilikua Landrover ya CO na lorry Isuzu general duties. Full stop....
Mbona unaelezea kama miaka ya themanini wakati ruha imeanza juzi tu 846KJMimi warrant nikiitumia wakati wa bogi from Msange CTS (central training school zilikua nane tu enzi hizo) kwenda Luwa kambi ya mkoa. Kutoka Luwa kurudi uraiani walinipa cash money.
Nikapanda TRC bus kutoka S'wanga mpaka Mbeya. 12 hours.
Kutoka Mbeya Sasa ndio enzi zile Scandinavia Zina Anza Anza. Bus refu mlango wa abiria katikati. Enzi hizo hakuna tochi, Wala gavana Wala trafiki maana safari Ni usiku.
Mby Kuna madereva aisee. Hii route ya Arusha Dar Ni wanafunzi Tena wa VETA. Wazee waliotoka usafirishaji wako route ya mby Dar.
Hatahuku kwa wasukuma Mwanza hakuna madereva wa mabasi.
Toka mby jioni kumi na moja alfajiri tuko mnazi mmoja. (Stendi kuu enzi hizo) kwa mabasi ya mby songea TANGA na Iringa.
Usweken stend zao zilikua kariakoo. Moshi na Lindi mtwara na mafia Ni kisutu.
We acha basi moshi kafariki?aliumwa ama ilikuwaje mshikaji wangu sana yule nilhama kambi tukapotezanaDaaaah we jamaa hao makatili, Rambo alishanipiga Kofi kwenye kwata mzeee[emoji23][emoji23]
Palikuwepo na Afande Devi, Afande Namwao
Ila Cpt Moshi amefariki mwaka Jana mkuu
Serengeti mwisho ideteroNawe ulikuwa unaenda kumbe.
Kuna siku ikitokea tifu kati ya service mens na kurutas kisa kuanzisha moto nyakati za usiku