Uzinzi mtupu
mtu akikupenda;kamnda akimpenda si wako maisha gani kuumizana ni hilo tu sito nasema sitolisahau
nilikuwa bulombora pia!afande ngoma etc!ilikuwa ngumu kwanza,baadae tulizoea!more than a decade !but wanawake walidhalilishwa na maafande!walitoa miili yao bila kupenda
JKT sijui Lt col utakutana nae wapi?. Kule unakula sambamba na ma-koplo tu!.mimi nilikuwa mafinga!
kuna luteni col mmoja JINA KAPUNI alitunyanyasa sana
JKT ni heri irudishwe tuu bse vijana wa leo ndo maana wanaaribika ukakamavu sifuri mara ooh mtoto si rzki.
Wale wa Mafinga mpo?
mimi nilikuwa mafinga!
kuna luteni col mmoja JINA KAPUNI alitunyanyasa sana
Ingawa binafsi sijapitia JKT lakini katika story zote za JKT nilizozisikia sijawahi kusikia waungwana wakizungumzia maluteni kanali.mimi nilikuwa mafinga!
kuna luteni col mmoja JINA KAPUNI alitunyanyasa sana
Umekosa mengi, inabidi ukajiunge likirudishwa.mie hata sijawahi kunusa jeshi ila nilisikia kama limerudi vile?
Ingawa binafsi sijapitia JKT lakini katika story zote za JKT nilizozisikia sijawahi kusikia waungwana wakizungumzia maluteni kanali.
heeee binti maringo usiniambie na weee ulibahatika kuwa geshini!!!!!!!!!!! si tunaambulia stori tu kama hivi maskini tulikosa mengi pamoja na ya kusimamisha minazi hahaaaaaaaaaa!!! (we veri naughty_)Luteni kanali wengi walikuwa CEO kama sikosei walikuwa hawa deal sana na makuruta....unamuona kwa nadra sana......
Baada ya chakula cha usiku nakumbuka oljoro watu walikuwa wanasimamisha minazi kinoma mitaa ya mgahawa kule duh!....Miye nilikuwa mtoro siku kaa sana olrojo nikaja kuhamia Mgulani kwa Kitomari!....na huko ilikuwa shushushu tuu!....Ila ilikuwa fun kusema kweli...pale oljoro kulikuwa na shamba linaitwa Dunia hujui mwanzo wake wala mwisho.....mtu unapewa mraba ulime umalize by lunch time..maselule wengi tulikuwa tunabakia kule hadi lunch ya "mchana" unakosa....