Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

nilikuwa bulombora pia!afande ngoma etc!ilikuwa ngumu kwanza,baadae tulizoea!more than a decade !but wanawake walidhalilishwa na maafande!walitoa miili yao bila kupenda
 
nilikuwa bulombora pia!afande ngoma etc!ilikuwa ngumu kwanza,baadae tulizoea!more than a decade !but wanawake walidhalilishwa na maafande!walitoa miili yao bila kupenda

kweli wasichana walikuwa wanadhalilishwa, unakumbuka kulechini michikichini na matofari kazi kwelikweli na kule serengeti karibu na michungwa?
 
Choveki,
Du wewe tutakuwa tulikuwa operation moja pale Oljoro, kwani uliowataja hapo juu baadhi nawafahamu, mimi nikuwa Farming na nilinyaka kitengo cha Generator. Kazi yangu ulikuwa ni kuwasha generator tu wakati wa jioni pale na jamaa mmoja Richard Chule, kule CTS alikuwa ni Shaaban Kayungilo na msichana mmoja hivi simkumbuki jina.

Huyu Coleman Ndaro maafande walikuwa wanamuogopa kuwa alikuwa shushu. Farming tulikuwa na afande Malaza, du huyu alikuwa balaa. Tulikuwa na DR Hildbrand Shayo pale. Grace Magoti namkumbuka sana huyu lakini nadhani alipigwa bodi la Makuyuni na akina Zayumba.
 
JKT ni heri irudishwe tuu bse vijana wa leo ndo maana wanaaribika ukakamavu sifuri mara ooh mtoto si rzki.
Wale wa Mafinga mpo?

Wamafinga tupoo!!,nilikuwa pale Operation miezi 6,nilipigwa bogi to Itende baada ya kuwa Nanga kwenye kwata!,na Itende nikaunganishwa kwenda detarch yao ya Itaka kwenda kulima Mahindi,JKT inatukumbusha mengi sana!!,kulikuwa hakuna mtoto wa kigogo wala mtoto wa mkulima,wote level moja Green Vest ya kijani!!
 
Mkuu kweli kabisa Same Secondary School ni kama jeshi especially maswala ya shida ya maji na kwenda kuokota kuni porini.NGUSERO,dah mkuu umenikumbusha mbali sana.Umepita pale miaka ipi,wadau wengine wa Same Secondary mpo-jitokezeni!
 
mimi nilikuwa mafinga!
kuna luteni col mmoja JINA KAPUNI alitunyanyasa sana

Mi nilikuwa makutupora au Makutu (OP Vyama Vingi). pale mzee tulipiga tofali za kufa mtu, kuna watoto mayai waliokuwa wametoka jagwani na zanaki kwao masaki duh umayai wote uliwaisha - hadi wakaanza ku-burst.
Sasa kipindi cha kukata kuni kule mitunduruni ndo ilikuwa issue - aliyekuwa makutu atamalizia...

Kwa njisi tulivyokuwa tumeiva ki-askari nakumbuka baada ya kupata vyeti vya kumaliza Rigesi Retu tulivaa makobati zetu siku hiyo hiyo usiku mida ya saa mbili hivi tukaanza kuchapa rigwalide msitu kwa msitu hadi dodoma mjini - .
 
"Unalia nini kuruuutaaa fomu ulijaza mwenyewe" hahahaha! mnakumbuka huu wimbo
wa mchakamchaka umeshachoka unatamani kulia mtu analianzisha..makutupora kwa afande Rajabu!! Jeshi lina uzuri wake na ubaya wake vyote kwa pamoja.
 
Hii kitu ipo njiani tena duh na enzi hizi za ukimwi sijui itakuwaje? Nadhani kuna haja ya kuwapima walimu pamoja na vijana watakao enda huko ili tuweze kulioa Taifa la kesho.
 
mimi nilikuwa mafinga!
kuna luteni col mmoja JINA KAPUNI alitunyanyasa sana
Ingawa binafsi sijapitia JKT lakini katika story zote za JKT nilizozisikia sijawahi kusikia waungwana wakizungumzia maluteni kanali.
 
Ingawa binafsi sijapitia JKT lakini katika story zote za JKT nilizozisikia sijawahi kusikia waungwana wakizungumzia maluteni kanali.

Luteni kanali wengi walikuwa CEO kama sikosei walikuwa hawa deal sana na makuruta....unamuona kwa nadra sana......

Baada ya chakula cha usiku nakumbuka oljoro watu walikuwa wanasimamisha minazi kinoma mitaa ya mgahawa kule duh!....Miye nilikuwa mtoro siku kaa sana olrojo nikaja kuhamia Mgulani kwa Kitomari!....na huko ilikuwa shushushu tuu!....Ila ilikuwa fun kusema kweli...pale oljoro kulikuwa na shamba linaitwa Dunia hujui mwanzo wake wala mwisho.....mtu unapewa mraba ulime umalize by lunch time..maselule wengi tulikuwa tunabakia kule hadi lunch ya "mchana" unakosa....
 
heeee binti maringo usiniambie na weee ulibahatika kuwa geshini!!!!!!!!!!! si tunaambulia stori tu kama hivi maskini tulikosa mengi pamoja na ya kusimamisha minazi hahaaaaaaaaaa!!! (we veri naughty_)
 
Back
Top Bottom