Nakumbuka dola 1 ilikuwa Tsh 1. Nimemiss sana enzi hizo
Acha fix
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka dola 1 ilikuwa Tsh 1. Nimemiss sana enzi hizo
Wale wa Makutupora na Ol joro.....
wale wa 835kj mgambo nimegundua kuwa tupo wachache humu
Ooh wanikumbusha bulombora op nidhamu.nawakumbuka afande sura ya kufa,Ghadafi, meja chale ,sijasahau zile dagaa ni misamaki ile jamani mpo?nawatakia uchaguzi mwema.
Mkuu mafinga ni balaa nilikuwa b coy kuna afande anaitwa saa ya mkebe akiwa anataka muimbe mpaka sauti isikike kwa mtoto wake Tony alieko changarawe pia mkiwa fatiki ili upate tano lazima upige picha na ukimlipa pay unakula tano za nguvu, pia mkono wa chuma kabla hajaongea tayari kashakupiga kibao pia bila kupasahau shambani kwa mwamunyange full maziwa na mayai baada ya fatiki saa nneDah nakumbuka 841kj pale mafinga .... Jkt ya zaman ilikuwa na mafunzo mazur sana... Sitawasahau makamanda hawa. Lt nkya, Lt liundi, Lt alloys, na wiliam Sagala... Mpaka leo nina alama mgongon na mkono wa kushoto... Nilichimba handak kwa sahan na panga