Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Mimi nipo Eagle koy pale na afande Samjera, hakika sitomsahau yule afande.2014/15 JKT Mtabila,Kama Upo Nyosha Kidole Juu Tujuane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nipo Eagle koy pale na afande Samjera, hakika sitomsahau yule afande.2014/15 JKT Mtabila,Kama Upo Nyosha Kidole Juu Tujuane
Huyu Mwakyobwe ni jamaa yangu sana.Jkt kanembwa 824 kj Afande CO bwegoge,
Chief instructor alikua Captain sebastian Tesha saivi ni major.
Kulikua na Luteni Mwakyobwe akahamishiwa mtabila afande mpenda kuruti ni major sasa uyu jamaa.
Private Marwa asee pt instructor
Marehemu magesa mboje mzee wa doso jamaa alikua anajipiga doso mweyewe anaruka uchura kilometer nne kutoka nduta hadi maini gate.[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Nimecheka balaa, ukageuka samaki bhana dah et unaibuka kidogo kuvuta pumzi afu unazama tena dah 😂😂😂🤣🤣🤣Nilikua chalii wa C coy alafu nilikua doja laana
Siku moja nilidoji nikakimbizwa na fande alafu kama jini vile nikapotelea chooni, yani namaanisha niliingia chooni alaf sijatoka afande nae akaingia kanitafuta bila kuniona
Jiulize nilijificha wapi? Nikiingia kwenye pipa la maji ya chooni alaf pipa lenyewe limejaaa maji full nilikua naibuka kidogo juu navuta hewa sekunde mbili alaf narud nazama ndani ya pipa dakika 4
Madoja wenzangu huko nje walipigwa tifu laana walikwepa ndege masaa 8
Hahahahaha Wapi hiyo mwanangu!OP Kikwete MGAMBO Jk 832 daah dada wili si akamchoma private kuwa anamtaka alafu alikuwa mtoto wa Mkubwa balaa yani yule Private alipiga magoti mbele ya Kurutu 2000 anamuomba yule binti msamaha alafu demu mwenyewe Mbovuu kinomaa Maafande walitukana balaa yani achaa tuu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani baada ya lile tukio Tulikulaaa kazi yanii mateso yale hapanaa ikawa kama Course ya Kadet mamaee week 6 zilikuwa Chungu mnoo kuna siku tulilazwa kwenye Mvua inanyeshaa dadekii kesho yake nikasema wakirudia tena natorokaa yanii napiga mguu kwa mguu mpaka niipate lami...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilaa baadae nikaja kuwa doja balaa wakagawa vitengo picha linaanza nikakimbilia Upishiii...baadae nikawa nadoji msituni tu sieleweki nipo wapi then nikajiunga Ngoma Coy kwa wazalendo nilikuwa nalala kuanzia asubuhi mpaka jionii naamka kulaa tuu. Nilirudi jeshi shavu hilooo mpaka nikatamani kubaki yani wakanipa na 150k ya nauli enzi hizo za JK mambo safii.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] daàh nimemkumbuka kenge wa Pakistan 822kj doso lake ni kumbukumbu niliyobaki nayo,mkuu ulikua combania gani????Kenge wa Pakistan [emoji23][emoji23]daah umenikumbusha 822kj!!!
Kwa Afande Double D dereva wa kikosi na Mwamba Kaloli.Anyone amekuwa pale Mtabila Kigoma mujibu wa sheria 2015?
Yule sajenti alikuwa anatufundisha somo la darasani alikuwa anaitwa nani vile, namkubali sana yule mwambaKwa Afande Double D dereva wa kikosi na Mwamba Kaloli.
Itakuwa walikuja wengine, sisi tulipita mwanzo upande wa JKT baada ya hapo kuwa kituo Cha ulinzi(DET).Yule sajenti alikuwa anatufundisha somo la darasani alikuwa anaitwa nani vile, namkubali sana yule mwamba
Kama ni 2015 utakuwa unamjua sema jina tuItakuwa walikuja wengine, sisi tulipita mwanzo upande wa JKT baada ya hapo kuwa kituo Cha ulinzi(DET).
Tulikuwa tukijificha porini kwenye magofu ya makanisa ya warundi na hakuna hata mtu anayekuja kututafuta, kule ilikuwa ukiwa mzembe utafanya kazi mpaka ukome.
Ilikuwa una risk kujificha wiki ila ukikamatwa siku moja unakuwa tayari kwa drill nzito.
Nilipita nyuma sio mwaka huo.Kama ni 2015 utakuwa unamjua sema jina tu
[emoji3][emoji3][emoji3] daàh nimemkumbuka kenge wa Pakistan 822kj doso lake ni kumbukumbu niliyobaki nayo,mkuu ulikua combania gani????
Ulipiga mgambo mwaka gani? 2013, 2014 au 15?Tuliopita Mgambo - Kabuku Tanga Tujuane hapa, nime miss machungwa kule shambani bondeni lol.
Sisi wakati tunapita hapo mgambo machungwa yalikuwa mengi sana yaani tulikuwa tunayala kila siku na hayaishi kabisaNina visa kadhaa pale mgambo jkt.
Kuna afande mmoja alikuwa anaitwa mjerumani huyo, kuna siku aliwalisha watu malimao na maganda yake huku akisema "kurutu" nataka nione mbegu tu hapo chini.
Sababu ikiwa ni ile ya kula machungwa yale yaliyopo barabara ya kuelekea kwenye mahanga ya madawili sitasahau ile moment.
Muujibu,DANGER COY nipo hapa we ulikuwa kujitolea ?
Anhaa, okayNilipita nyuma sio mwaka huo.
Mkuu ulipata post?Niliacha biashara zangu mtaani nikaenda kujitolea 835kj nashukuru MUNGU kwa uamuzi sahihi niliofanya.
Aliwahi kuja kuwa sir meja wetu kwa mudaSameja SENGA mchaga mmoja hivi ana huruma kichizi yaani anapenda kuongea utamsikia KURUTA JESHI NI GUMU HATA YEYE MWENYEWE HAJAWAHI KULIZOEA
yeah
nipo vyomboni humu tena vitengo vitamu sio ngoma coy