Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
SIONI TIJA eti wanajifunza Uzalendo Wakipata AJIRA ndio Vinara wa RUSHWA, UFISADI N.K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jkt wkt huo. Hii ya sasa ni waterdown version ndio maana wanatoka watu wahuniNimefanya uchunguzi mdogo kwa vijana walioko vyuoni, hali inasikitisha sana.
Vijana hawana nidhamu siyo tu ya kazi hata ya muda.
Vijana hawana maono ya maisha yao binafsi au taifa. Maisha hawayajui kabisa hata wale wengine waliotokea maisha ya hali ya chini lakini hilo halijawafanya wawe 'humble'. Wana 'sense of entitlement'. Wanatamani tu na kudhani wanastahili vitu vizuri bila kuvifanyia kazi.
Vijana wa siku hizi, mvua tu ikinyesha ni kisingizio cha kutokwenda darasani au kutimiza wajibu fulani.
Vijana hawana maadili ya kuwa wakweli na waadilifu. Wanagerezeana kwenye mitihani, wengine kazi za makundi wanalipa wafanyiwe na wengine. Ukiacha wafanye kila mtu peke yake, vitest tu zero zinakuwepo za kutosha.
Huko JKT wanapokwenda baada ya kumaliza Form 6, wanajifunza nini sasa?
Wahenga mnajiona ni golden generation kwenye kila kitu lakini hapana kwenye hilo la jkt sio saiz au zamani wote hovyo angalia viongozi wengi wa saizi walipitia jkt au jeshini miaka ya nyuma ila hawana nidhamu wala Nini ni ufisadi, wizi, rushwa,,,, ila kweny vitu vingine naweza kusema mlikua bora sana kuliko kizazi hiki. ThanksJkt wkt huo. Hii ya sasa ni waterdown version ndio maana wanatoka watu wahuni
Wee unafikiri yale mashamba na mifugo wanayofuga baadhi ya kambi ma privet na maafisa ndo watashika jembe na kuchunga ??kazi yao ni uzalishaji na kumwagilia kabichi na maua na kubeba kifusi kwenye ndoo huo ndo uzalilendo wenyewe sasa.(au we unasemaje bwashee)Nimefanya uchunguzi mdogo kwa vijana walioko vyuoni, hali inasikitisha sana.
Vijana hawana nidhamu siyo tu ya kazi hata ya muda.
Vijana hawana maono ya maisha yao binafsi au taifa. Maisha hawayajui kabisa hata wale wengine waliotokea maisha ya hali ya chini lakini hilo halijawafanya wawe 'humble'. Wana 'sense of entitlement'. Wanatamani tu na kudhani wanastahili vitu vizuri bila kuvifanyia kazi.
Vijana wa siku hizi, mvua tu ikinyesha ni kisingizio cha kutokwenda darasani au kutimiza wajibu fulani.
Vijana hawana maadili ya kuwa wakweli na waadilifu. Wanagerezeana kwenye mitihani, wengine kazi za makundi wanalipa wafanyiwe na wengine. Ukiacha wafanye kila mtu peke yake, vitest tu zero zinakuwepo za kutosha.
Huko JKT wanapokwenda baada ya kumaliza Form 6, wanajifunza nini sasa?
Daaah!Wewe hao vijana waache wapo kwenye ishu ya Mob psychology, Kuna age watatulia tu life likishawaingiza kwenye impossible angle. Kunawakati majukumu huwa yanabanana kwa pamoja.. unahitaji gari wakati huohuo unalea watoto, upo nyumba ya kupanga, wapo watoto wa shule, ndio mtu anataka kukukuruka
Nilipitia huku miaka 2 kamili 833 KJ.
Ni aina fulani CHEAP LABOUR. Nikiwa Rais nitaifuta kabisa, watu wanatumikishwa kwa ujira wa 50k na ugali maharage, nguo huna, viatu shida, kulala shida. Mateso na sio uzalendo
Daaah!
Hii Thread bado inaendelea kumbe bado inaendelea. 14 Years Later . . .
Ngoja nianze kuipitia niandae TV Series ya JKT maudhui ya Kujenga Vijana na Comedy!
Asanteni kwa Michango yenu.
Haha nimejikuta nacheka. Unamuuliza swali Marehemu?R.I.P.
Series zilitoka au bado?
wewe uliyesoma jicheke kwa kukosa u GT.. hujui jibu pita hukooo..Haha nimejikuta nacheka. Unamuuliza swali Marehemu?
Sawawewe uliyesoma jicheke kwa kukosa u GT.. hujui jibu pita hukooo..