Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Nimefanya uchunguzi mdogo kwa vijana walioko vyuoni, hali inasikitisha sana.

Vijana hawana nidhamu siyo tu ya kazi hata ya muda.

Vijana hawana maono ya maisha yao binafsi au taifa. Maisha hawayajui kabisa hata wale wengine waliotokea maisha ya hali ya chini lakini hilo halijawafanya wawe 'humble'. Wana 'sense of entitlement'. Wanatamani tu na kudhani wanastahili vitu vizuri bila kuvifanyia kazi.

Vijana wa siku hizi, mvua tu ikinyesha ni kisingizio cha kutokwenda darasani au kutimiza wajibu fulani.

Vijana hawana maadili ya kuwa wakweli na waadilifu. Wanagerezeana kwenye mitihani, wengine kazi za makundi wanalipa wafanyiwe na wengine. Ukiacha wafanye kila mtu peke yake, vitest tu zero zinakuwepo za kutosha.

Huko JKT wanapokwenda baada ya kumaliza Form 6, wanajifunza nini sasa?
Jkt wkt huo. Hii ya sasa ni waterdown version ndio maana wanatoka watu wahuni
 
Wahenga mnajiona ni golden generation kwenye kila kitu lakini hapana kwenye hilo la jkt sio saiz au zamani wote hovyo angalia viongozi wengi wa saizi walipitia jkt au jeshini miaka ya nyuma ila hawana nidhamu wala Nini ni ufisadi, wizi, rushwa,,,, ila kweny vitu vingine naweza kusema mlikua bora sana kuliko kizazi hiki. Thanks
 
Nimefanya uchunguzi mdogo kwa vijana walioko vyuoni, hali inasikitisha sana.

Vijana hawana nidhamu siyo tu ya kazi hata ya muda.

Vijana hawana maono ya maisha yao binafsi au taifa. Maisha hawayajui kabisa hata wale wengine waliotokea maisha ya hali ya chini lakini hilo halijawafanya wawe 'humble'. Wana 'sense of entitlement'. Wanatamani tu na kudhani wanastahili vitu vizuri bila kuvifanyia kazi.

Vijana wa siku hizi, mvua tu ikinyesha ni kisingizio cha kutokwenda darasani au kutimiza wajibu fulani.

Vijana hawana maadili ya kuwa wakweli na waadilifu. Wanagerezeana kwenye mitihani, wengine kazi za makundi wanalipa wafanyiwe na wengine. Ukiacha wafanye kila mtu peke yake, vitest tu zero zinakuwepo za kutosha.

Huko JKT wanapokwenda baada ya kumaliza Form 6, wanajifunza nini sasa?
Wee unafikiri yale mashamba na mifugo wanayofuga baadhi ya kambi ma privet na maafisa ndo watashika jembe na kuchunga ??kazi yao ni uzalishaji na kumwagilia kabichi na maua na kubeba kifusi kwenye ndoo huo ndo uzalilendo wenyewe sasa.(au we unasemaje bwashee)
 
Nilipitia huku miaka 2 kamili 833 KJ.
Ni aina fulani CHEAP LABOUR. Nikiwa Rais nitaifuta kabisa, watu wanatumikishwa kwa ujira wa 50k na ugali maharage, nguo huna, viatu shida, kulala shida. Mateso na sio uzalendo
 
Wewe hao vijana waache wapo kwenye ishu ya Mob psychology, Kuna age watatulia tu life likishawaingiza kwenye impossible angle. Kunawakati majukumu huwa yanabanana kwa pamoja.. unahitaji gari wakati huohuo unalea watoto, upo nyumba ya kupanga, wapo watoto wa shule, ndio mtu anataka kukukuruka
 
Daaah!

Hii Thread bado inaendelea kumbe bado inaendelea. 14 Years Later . . .

Ngoja nianze kuipitia niandae TV Series ya JKT maudhui ya Kujenga Vijana na Comedy!

Asanteni kwa Michango yenu.
 
Nilipitia huku miaka 2 kamili 833 KJ.
Ni aina fulani CHEAP LABOUR. Nikiwa Rais nitaifuta kabisa, watu wanatumikishwa kwa ujira wa 50k na ugali maharage, nguo huna, viatu shida, kulala shida. Mateso na sio uzalendo

Siku hizi ni rts ya tpdf sio jkt tena
 
Back
Top Bottom