Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sas mkuu nafas ndo vle imetangazwa leo ya wale 4 six awamu ya tatu ln watatangaza kwa wote? Awa nao wababaishaji tu,
Yap n kweli wakuu jus 2we na subira 2taenda tu ila watatupa mikonde 2kienda watakuwa na hasira na cc? Na diploma yangu ya acountancy
Swala la JKT limekua compulsory kwa wale wote tunaosubiri nafasi za professionals za jeshi kwani ni lazima kwanza tu serve jkt for four months then ndio miezi sita ya officer cadet. Mimi naomba kwa wale ambao mmepitia huko (husu
Najutia kupoteza mwaka mzima kule 832 KJ Mgambo/Operation Vyama vingi.
Hakuna chochote nilichofaidika zaidi ya kuupoteza mwaka wangu kule bila kitu chochote cha maana zaidi ya kukutana na marafiki wapya. Period!
Nililimishwa kama Valmet. Nilichuma machungwa kama ngedere. Nilifyeka nyasi kutumia jembe!
All in all it was a year lost. Labda kwa wengine mlifaidika ama mtaendelea kufaidika na JKT. Lakini to me personally hakuna cha maana nilichokiona huko. Ni waste of tax payers' money.
Samahani kama wengine mtakwazika
mimi nauliza nimemaliza chuo lakini nimevuka miaka 23 je nikiomba watanikubali
mimi nauliza nimemaliza chuo lakini nimevuka miaka 23 je nikiomba watanikubali
ICT,najiuliza njpeleke maombi wilayani vyeti vipo poa ila umri unanjkatisha tamaa