Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Sas mkuu nafas ndo vle imetangazwa leo ya wale 4 six awamu ya tatu ln watatangaza kwa wote? Awa nao wababaishaji tu,
 
post znaweza toka mwez wa 12 mwez wa 1 o wa 2 mwsho ndo hua tym ya kuripot makambn kwa wale wa kujtolea, xo lets jus wait
 
Yap n kweli wakuu jus 2we na subira 2taenda tu ila watatupa mikonde 2kienda watakuwa na hasira na cc? Na diploma yangu ya acountancy
 
Yap n kweli wakuu jus 2we na subira 2taenda tu ila watatupa mikonde 2kienda watakuwa na hasira na cc? Na diploma yangu ya acountancy


Hapana....
Kama wakigundua una elimu nzuri,afu una nidhamu,asee watakuheshimu sana...
Mara nyingi huwa wanadhani watu wa aina hiyo ni wapelelezi amaaafisa usalama waliokuja kuchunguza hali ya mafunzo...

THE ONLY SECRET IS DISPLINE
 
Swala la JKT limekua compulsory kwa wale wote tunaosubiri nafasi za professionals za jeshi kwani ni lazima kwanza tu serve jkt for four months then ndio miezi sita ya officer cadet. Mimi naomba kwa wale ambao mmepitia huko (husu
 
jkt compulsory ni miezi sita ! baada ya hapo ukichaguliwa jwtz unaenda maktopora,mafinga ,oljoro au recruit school yeyyte kupata mafunzo ya TS(Trained soldier) miezi minne
ukipata usaili wa TMA monduli unaenda kusomea nyota(officer cadet) mwaka mzima
 
nakushauri ujiandae kisaikolojia kupokea "material ya kijeshi" na kufanya " kazi za kibeto" ...wazi !
 
jamani maelezo ni matamu saan lini hii course inaaaza
:bange:
 
Najutia kupoteza mwaka mzima kule 832 KJ Mgambo/Operation Vyama vingi.
Hakuna chochote nilichofaidika zaidi ya kuupoteza mwaka wangu kule bila kitu chochote cha maana zaidi ya kukutana na marafiki wapya. Period!
Nililimishwa kama Valmet. Nilichuma machungwa kama ngedere. Nilifyeka nyasi kutumia jembe!
All in all it was a year lost. Labda kwa wengine mlifaidika ama mtaendelea kufaidika na JKT. Lakini to me personally hakuna cha maana nilichokiona huko. Ni waste of tax payers' money.
Samahani kama wengine mtakwazika

mkuu kikosi cha mgambo ni 835kj sio 832kj.nilikuwepo.kulima na machungwa kama kawaida
 
mimi nauliza nimemaliza chuo lakini nimevuka miaka 23 je nikiomba watanikubali

inategemea na uhitaji wa jeshi na profession yako ! kama we ni baharia faster tu unaenda JW hata kama una miaka thelathini.

kuna profession zinahitajika jeshini,swala la umri wanalipotezea. mimi personally nimepiga depo na watu wazima na wengi wao wameenda JW
 
Nenda tu kwani mpaka upewe ronjo ? Woga mbaya sana ni kama jandoni
 
hata kuwe kuna kukwepa risasi ukisavive unakuwa mjeshi mi ntakwepa na ntakuwa mjeshi laba fitina ianzie wilayani nisifike huko juu
 
Back
Top Bottom