Je unakumbuka siku uliofanya mapenzi mpaka ukakubali show

Hizi uzi zingine zinaonesha namna watu walivyo hata kama wako nyuma ya kiibodi

Uzi za kijinga hadi mtu unajiuliza maswali bila majibu
Hii katika population tunaita composition ya surplus population. Aina hii ya watu kama tungekuwa tuna mifumo mizuri walipaswa kukamatwa wapelekwe kwenye nchi kama za Somalia au sudan kusini kupata various life skills.
 
Ndio wapiga kura wa CCM hao. Huoni Mheshimiwa Mbunge ajaye Mheshimiwa Tlaatlaah anavyopost humu. 😀😀😀😀. Sasa kama Mbunge anapost hivyo, wapiga kura watapost nini?😀😀😀
Gentleman,
na ndugu wananchi, uongozi si lelemama. uongozi ni utumishi ambao inafaa kichwa yako ikae ngumu sana, sio kichwa nyepesi kuchanganyikiwa na kuukana ubinadamu hata kama tayari unatatizo la kiafya katika maswali ya uzazi na huna sense tena na masuala ya mapenzi

Acha makasiriko dhidi ya wanachofikkiri wengine. ukiwa kiongozi wa wananchi si utapigana nao katika kila mkutano kama mambo ya wengine yatakua yanakuhemsha..

hata hivyo,
CCM inahusikaje na makasiriko yako na huyo muungwana mnapeana moyo na matumaini kana kwamba hamuhisiki na maswala ya kujamiiana kisawa sawa?🐒
 
ajabu
 
Back
Top Bottom