Gentleman,
na ndugu wananchi, uongozi si lelemama. uongozi ni utumishi ambao inafaa kichwa yako ikae ngumu sana, sio kichwa nyepesi kuchanganyikiwa na kuukana ubinadamu hata kama tayari unatatizo la kiafya katika maswali ya uzazi na huna sense tena na masuala ya mapenzi
Acha makasiriko dhidi ya wanachofikkiri wengine. ukiwa kiongozi wa wananchi si utapigana nao katika kila mkutano kama mambo ya wengine yatakua yanakuhemsha..
hata hivyo,
CCM inahusikaje na makasiriko yako na huyo muungwana mnapeana moyo na matumaini kana kwamba hamuhisiki na maswala ya kujamiiana kisawa sawa?🐒