Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Mimi wa Arushamkuu naona umedhamilia...ungekuepo enzi za tupac si ungewakataza watu wasitembee kama tupac au wasivae nguo machata ya pac..sasa kama zipo nyingi si ubadilishe kwa nini utake kuongea kwa vitu vidogo tuu ivyo avatar sijui duu wewe jamaa wa wapi..
Ok karibu nami nipo ArMimi wa Arusha
Ni hatari Nifah...huyu mnyama msikie tu,yaani kana hasira sana asee,na ni kabishi hatariiiii....Babu alituambia ili kafe ni lazima upige rungu kwenye fuvu kichwani,ukipiga huko mgongoni ni kama unajisumbua tu,sbb kenyewe kana uweze wa kujitunisha rungu ukipiga linadunda kama mpira tuUwiiiiiiiiii nimeogopa sana [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Nyege...reJina linareflect tabia.
Nilikuwa nimefunga tu taulo kiunoni labda kalidhani mimi ni sheDaaah mkuu maalon basi ulikaotea sana haka kajamaa,haka huwa akakubali kushindwa,ni king'ang'anizi sana huyu mdudu...Ama hakika ulikuwa shujaa,vinginevyo kangekuondolea serikali yako yoooote bila huruma,maana kenyewe huwa kanavizia hukohuko "ikulu" kubwa
Anafika hahahaah.!Unachukua asali aliyojambia huko Singida alafu unasafiri nayo kuja Dar. Tuone kama atafika.
Basi atakuwa kiumbe cha kipekee sanaAnafika hahahaah.!
Nyegere ni carnivora mkuuWacha uwongo, nyegere hajambii mzinga wa nyuki hata siku moja. Ni kweli kuwa yeye anakula asali na ndiyo maana anaitwa "Honey Badger," ila ikumbukwe kuwa asali si chakula pendwa ama pekee alikacho. Nyegere ni Omnivores maana kwamba anakula kila kitu bila ubaguzi, anakula nyoka tena mambas (koboko) na aina yote ya nyoka bila tatizo kwani ana anti venom inayomfanya asife kutokana na kugongwa na nyoka. Anakula pia wanyama wadogowadogo kama paka hata vitoto vya mbwa na aina zote za ndege mwituni. Akikuta asali anaishambulia bila tatizo na nyuki wala hawamsumbui. Kule kunuka kwake anatumi ile harufu kwa ajili ya ku-mark territories tu au akiwa under threat kutoka kwa wanyama wengine wakubwa kama Simba, chui, fisi, Rock python na wengineo. Anawajambia kuwatishia.
Hujamba kuwalewesha adui zake mkuu wakiwemo hao nyukiNyegere ni carnivora mkuu
Mi niliona mamba anawazingua simba watatu wanabaki kutoa machoNaombeni majibu hapa kama kweli nyegere anaweza kumzingua simba
Nilikua namrekebisha apo aliposema nyegere ni omnivores mkuu....uko kwingne sijagusiaHujamba kuwalewesha adui zake mkuu wakiwemo hao nyuki
Mkuu,hiyo haina sifa ya kuingia kwenye guiness book of records ila ipo tu kwenye record ya maisha yangu kilichonisaidia siku ile ni kwamba sikujua napambana na mnyama gani kwa hiyo sikuwa na hofu pili ni ule mpini mfupi wa mudu niliweza kuudhibiti na kuutumia barabara na isitoshe nilikuwa na taa mkononi pengine mwanga wa taa ulikuwa unamchanganya na mwisho kabisa nilikwa nimefunga taulo kiunoni labda kalidhani mimi ni ke vinginevyo kangejua mimi ni me ilikuwa rahisi kuondoka na ikulu yaguNitajie jina lako nikuingize kwenye guiness book of records,,,