Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Fisimaji tatizo lake sio wivu bali ni tamaa ya ngono. Yeye hata akikuta mwamba wa jiwe umetoboka mfano wa papuchi lazima aushughulikie mpaka amalize hamu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fisimaji tatizo lake sio wivu bali ni tamaa ya ngono. Yeye hata akikuta mwamba wa jiwe umetoboka mfano wa papuchi lazima aushughulikie mpaka amalize hamu yake.
Duh! Ha ha ha!
Asante kwa maarifa haya ... Ngoja ni mgoogle nimjue zaidi.
Duh! Nyegere bhana.
Hivi haka ndo kale kajamaa kabishi kwenye mkanda wa BUSH MEN?!!
Kwa Binadam Inaonekana Tofauti. Watu Wanatamani Sana Ile Nyingineuchi za kike mbona zote tamu kwa viumbe wa kiume wa hiyo species,
Uwiiiiiiiii jamani jamani!Fisimaji tatizo lake sio wivu bali ni tamaa ya ngono. Yeye hata akikuta mwamba wa jiwe umetoboka mfano wa papuchi lazima aushughulikie mpaka amalize hamu yake.
Uwiiiiiiiiii nimeogopa sana [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]Ha ha ha ha ha jamani huyo Nyegere wacha habari zake kabisaaa,huyo mimi nilikutana nae kwa Bibi huko sehemu za Iringa,nikiwa bwana mdogo nimeenda likizo,sasa babu akawa amenambia twende na watoto wa kina shangazi na baba mdogo kuchunga
Tukakutana nako huko porini..maana mi nilikuwa napenda sana asali,sbb nimetoka town kila mtu ananipenda na anataka kuonyesha mwamba,tumeenda tumekuta asali tukapakuwa,tumeenda jua linazama tunarudi zetu kunywesha ng'ombe maji
Ee bwana ee,kumbe kijamaa kinatufatilia nyumanyuma mda mrefu...tumefika home tukasikia mbwa wanalia sana nyuma ya zizi,kwenda tunakuta mbwa wamekula sana kichapo...palikuwa na varangati la kufa mtu,yaani ukongwe wa babu tu,akasema "Beee mele taa ikisonzo kilipanzingo ipo"
Babu alikuwa mfugaji na mwindaji,akavaa ngozi ngumu kiunoni,akaanza kukabliana nako....It was a fighting of one hr and ahalf
Jamani huyu mdudu msikieni tu,kwanza mbishi halafu mgumu sana kufa...yaani sitaki hata kumkumbuka
"Honey Badger" sio kama ulivyoandika bosiJina lingine la '''''kithungu''''' anaitwa Baja
Mellivora capensisHoney badger
Ni kweli kabisa mimi kuna siku aliwahi kuingia nyumbani usiku kufuata kuku mimi sikujua huyo ni nyegere nilichukua mpini mfupi na kupambana naye kila alipokuja miguuni kunifuata nilikuwa nampiga kichwani nilicheza naye kama dakika 20 nikafanikiwa kumuua nikamfunga kamba shingoni na kumtupa nje ya nyumba wala sikujua nimeua mnyama gani mpaka kesho yake asubuhi walipopita wapita njia ndiyo wakasema ni nyegere hapo ndipo nikapata uonga kumbe nilipambana na mnyama hatari hivyo lakini nikagundua uonga saa nyingine hufanya mtu asiwe na ujasiri kwani pengine ningekuwa nimejua tangu awali kuwa nyegere kaingia ndani pengine ningeshikwa na woga hivyo mnyama huyo angenidhuru
Nitajie jina lako nikuingize kwenye guiness book of records,,,Ni kweli kabisa mimi kuna siku aliwahi kuingia nyumbani usiku kufuata kuku mimi sikujua huyo ni nyegere nilichukua mpini mfupi na kupambana naye kila alipokuja miguuni kunifuata nilikuwa nampiga kichwani nilicheza naye kama dakika 20 nikafanikiwa kumuua nikamfunga kamba shingoni na kumtupa nje ya nyumba wala sikujua nimeua mnyama gani mpaka kesho yake asubuhi walipopita wapita njia ndiyo wakasema ni nyegere hapo ndipo nikapata uonga kumbe nilipambana na mnyama hatari hivyo lakini nikagundua uonga saa nyingine hufanya mtu asiwe na ujasiri kwani pengine ningekuwa nimejua tangu awali kuwa nyegere kaingia ndani pengine ningeshikwa na woga hivyo mnyama huyo angenidhuru
Mkuu Mkereketwa haina haja ya kuniita muongo,ungeweza kutoa usahihi ya maelezo yako ya "kitaalamu" bila kunipa hilo jina.Wacha uwongo, nyegere hajambii mzinga wa nyuki hata siku moja. Ni kweli kuwa yeye anakula asali na ndiyo maana anaitwa "Honey Badger," ila ikumbukwe kuwa asali si chakula pendwa ama pekee alikacho. Nyegere ni Omnivores maana kwamba anakula kila kitu bila ubaguzi, anakula nyoka tena mambas (koboko) na aina yote ya nyoka bila tatizo kwani ana anti venom inayomfanya asife kutokana na kugongwa na nyoka. Anakula pia wanyama wadogowadogo kama paka hata vitoto vya mbwa na aina zote za ndege mwituni. Akikuta asali anaishambulia bila tatizo na nyuki wala hawamsumbui. Kule kunuka kwake anatumi ile harufu kwa ajili ya ku-mark territories tu au akiwa under threat kutoka kwa wanyama wengine wakubwa kama Simba, chui, fisi, Rock python na wengineo. Anawajambia kuwatishia.
Daaah mkuu maalon basi ulikaotea sana haka kajamaa,haka huwa akakubali kushindwa,ni king'ang'anizi sana huyu mdudu...Ama hakika ulikuwa shujaa,vinginevyo kangekuondolea serikali yako yoooote bila huruma,maana kenyewe huwa kanavizia hukohuko "ikulu" kubwaNi kweli kabisa mimi kuna siku aliwahi kuingia nyumbani usiku kufuata kuku mimi sikujua huyo ni nyegere nilichukua mpini mfupi na kupambana naye kila alipokuja miguuni kunifuata nilikuwa nampiga kichwani nilicheza naye kama dakika 20 nikafanikiwa kumuua nikamfunga kamba shingoni na kumtupa nje ya nyumba wala sikujua nimeua mnyama gani mpaka kesho yake asubuhi walipopita wapita njia ndiyo wakasema ni nyegere hapo ndipo nikapata uonga kumbe nilipambana na mnyama hatari hivyo lakini nikagundua uonga saa nyingine hufanya mtu asiwe na ujasiri kwani pengine ningekuwa nimejua tangu awali kuwa nyegere kaingia ndani pengine ningeshikwa na woga hivyo mnyama huyo angenidhuru