Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Hahahaha yaani comment tu nimecheka sana. Watu wana vituko sana
 
Hahahaha hivi huyu fisi maji anakaa majini ??
Dah anakula mzigo full time ? Sasa huyu si atakua amemaliza km za dunia nzima anahamia mars ,kwa mwanaume si wanasema bao moja ni 7 km
Anaishi majini.Hata uswahilini wale wanaume vito... wanaitwa fisi maji.anapenda kula mzigo balaa
 
Safari_ni_Safari,
Kule home ziwani kuna story tulikuwa tunasikia kuwa huyu jamaa fisi maji huwa na yeye ana genye hatari kiasi cha kupiga mabao kwenye mawe...! Sasa sijui ni myth au nini.
 
Duniani hakuna mnyama ana wivu kama fisi maji! Na hakuna mnyama anakula mzigo full time kama fisi maji!Fisi maji ni sex addict! Yeye hata jani likimgusa sehemu za siri analirudia analipiga bao!
Teh Teh asante kwa strong tea.... Mkuu hakika baridiii ya Dar jioni hii imemalizwa kwa chai yako ya kijiweni...
 
Mkuu katika hizo picha! Hiyo picha ya Kati Ina uhusiano wowote Na Nyegele???
Powder huyo ni mzee aliyejeruhiwa na Nyegere huko Singida...aliiba asali ya mke wa Nyegere,kajamaa kakanusa harufu mpaka home,kakampa kichapo cha maana mpaka wanakijiji walipoingilia kati ndio kakamuachia kakarudi porini kwa madoido kuwa kameshagawa dozi
Offtopic:Vipi ile mada yako ya mwanamzikk wa Congo na sumu uliisha??
 
Teh Teh asante kwa strong tea.... Mkuu hakika baridiii ya Dar jioni hii imemalizwa kwa chai yako ya kijiweni...

Hahahahahaha yaan hii mada imenivunja mbavu japo nimejifunza!!!lol mkuu kwa hii chai umetisha yaani nimecheka mpka machozi lol hahahahaha jf hatari!!!!
 
Back
Top Bottom