Tupia hata picha tumuone mkali was papuchi Na bingwa wa vichapo kavu kavu,,,yaani angekuwa mtu huyu angefunga wengi jela,,,,
Mkuu angefia jela kwa vurugu zake katika jamii🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupia hata picha tumuone mkali was papuchi Na bingwa wa vichapo kavu kavu,,,yaani angekuwa mtu huyu angefunga wengi jela,,,,
Ni kweli kana nyege saana sanaa kama jina lake,na kakikosa jike kanajipiga punyeto
Sasa ole wako kaone umekaona kanavyopiga punyeto....kazi itaamka
Hahahahaaa! Hao abiria wakiwa Mamdenyi watamfanya nini?Hahahahahah... Akipanda basi na raia wasimuone.. huyo mnyama atakuwa wa mazingara. Dah! !
Mkuu katika hizo picha! Hiyo picha ya Kati Ina uhusiano wowote Na Nyegele???View attachment 342896 View attachment 342897 View attachment 342899
Nyegere ni moja kati ya wanyama wenye wivu sana hapa duniani. Chakula chake kikubwa ni asali,yeye hupanda juu ya mzinga wa asali na kuujambia, baada ya mashuzi yake nyuki wote hulewa na yeye kupakua asali na masega yake na kula. Mwili wake una ngozi ngumu sana kiasi hata nyuki akimuuma hakuna chochote kinatokea
Nyegere ni mnyama mwenye wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari,maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike
Nyegere anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha sita, walina asali ndio waathirika wakubwa wa hasira za Nyegere,anaweza kuujambia mzinga akala kidogo asali na kupeleka kwa mke,mlina asali akifika na kupakua, nyegere ana uwezo ya kufuatilia harufu ya aliyeiba asali yake mpaka nyumbani, na akifika anavunja mlango na kuingia ndani na kumvamia mwizi wa asali yake(ukizingatia milango ya vijijini si imara). Watu wengi vijini wameuwawa kwa namna hii.
Nyegere ndio mmoja kati ya "fearless animal" duniani, huweza kuwakabili Simba na Chui zaidi ya mmoja na kuwashinda,anasaidiwa na ngozi yake ngumu na kucha zake, awapo katika hatari ya kushambuliwa hukakamaa na ngozi yake kuwa ngumu kama "defensive mechanism" yake.
Kuna makabila ambayo waganga wa kienyeji hutumia mchanganyiko wa Nyegere kutengenezea limbwata,Yaani wamama huchukua dawa hiyo kuwawekea waume zao ili wawe na "upendo" wa Nyegere.
Wivu wa Nyegere hufanya awachukie sana binadamu wanaume,mwanaume ukiwa porini ukakutana na Nyegere akiwa na jike lake jiandae kupata kibano, huona wivu kuwa utamtamani jike,hivyo hukimbilia kumvamia mwanaume sehemu za siri akiamini ndizo zinazokupa jeuri ya kumtamani jike lake.
Nyegere hula nyoka wa aina yoyote,ana sumu kali ambayo akimng'ata nyoka wa aina yoyote haponi.
Ogopa sana kukutana na mnyama mwenye wivu Nyegere...
Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya kilomita saba usiku kwa usiku anafuata harufu ya mtu aliyelina mzinga wa asali aliyoijambia, alipofika akavunja mlango na kukuta wamelala watu wanne kwenye mkeka mmoja,akabagua yule mwizi wake, akagawa kichapo halafu akarudi porini kimya kimya.
HAHAHAA NOMAA HUYO DEM WAKE HACHEPUKI HAHAHAHAH[emoji53] [emoji53] [emoji53] Mbona wamefanana sura, sishangai tabia.
haha ila yule badala akimbilie korodani yeye anakimbilia soli ya kiatu au alikua jike nini,?Duh! Ha ha ha!
Asante kwa maarifa haya ... Ngoja ni mgoogle nimjue zaidi.
Duh! Nyegere bhana.
Hivi haka ndo kale kajamaa kabishi kwenye mkanda wa BUSH MEN?!!
The God's must be crazy hahahaaaaaaDuh! Ha ha ha!
Asante kwa maarifa haya ... Ngoja ni mgoogle nimjue zaidi.
Duh! Nyegere bhana.
Hivi haka ndo kale kajamaa kabishi kwenye mkanda wa BUSH MEN?!!
Duniani hakuna mnyama ana wivu kama fisi maji! Na hakuna mnyama anakula mzigo full time kama fisi maji!Fisi maji ni sex addict! Yeye hata jani likimgusa sehemu za siri analirudia analipiga bao!