Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Jina lingine la '''''kithungu''''' anaitwa Baja
 
ila kula nyoka nimeangalia sana ile channel ya DSTV wa natural world ka mnyama kanakamata na kula nyona kama tunavmkula samakini easy !!
 
Huyu kiumbe mugope sana hasa kwenye mambo ya,asali nishida.
 
mi navyowambwela nyoka hasa koboko halafu nikisikia kuwa hiki kinyegere kinamtafuna kama tunavyotafina bigijii nachoka kabisa, kamepewa uwezo wa kipekee sana na muumba baba wa mbinguni, halafu mkuu hili jina lake la nyegele linaendana tabia zake,atakuwa ana nyege sana na ndio maana ana wivu, huku kwetu mvomero mtu akiwa kitombi sana huwa tunamwita nyegele
 
Miaka ya sitini kulikiwa na wimbo maarufu ukiimbwa kwenye harusi zetu za kiswahili
. "Nyegere kaingia mjini....*2
. mapanga....shikeni mapanga.."
Sasa naelewa waliimanisha nini
...nyegere kangia mjini...ashika kuku majumbani X2
Jamani mambo..magongoo..shikeni magongo...
Magongo shikeni magongo...
Mie nliusikia miaka ya mwanzon ya 90 kumbe ni wa cku nyingi...
 
Back
Top Bottom