Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Mmmhhhhhh mi kwa iki kidogo nijuacho kwa upande wa wanyama mwenye nguvu (dume) ndo anauwezo wa kumiliki majike so anakuwa na uwezo wa kuwahakikishia malisho maji pamoja na ulinzi mfno swala.nipo nje ya swali but utakuwa umepata mwanga kidogo.
 
Nyegere ndiye mnyama mwenye wivu mkubwa sana kwa jike lake,na ana mapenzi ya hali ya juu kwa jike lake

Nyegere hutembea huku akiwa ameziba sehemu za nyuma za jike lake kiasi kwamba jani tu likimdondokea jike lake kwa nyuma basi atagombana na hilo jani na kulilallua lalua kwa kuona jani limemfaidi utamu wa jike lake

Chakula kikubwa cha nyegere ni asali, huwa anapanda juu ya mzinga na kuujambia, mashuzi yake huwafanya nyuki wote walewe alafu yeye ndio hupakua asali na masega yake.Nyegere pia ana ngozi ngumu kiasi kwamba hata nyuki hakimuuma hasikii maumivu

Nyegere pia huchukua kiasi m.pna kumpelekea jike lake, Nyegere pia anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha sita, waathirika wakubwa ni warina asali kwa kuwa nyegere akishajua ameibiwa asali yake basi atafatilia harufu mpaka mlangoni kwako ,akishafika anavunja mlango na anamtafuta mwizi wake , hata kama mmelala 10 atamuua yule mwizi wake na kurudi nyumbani kimya kimya

Nyegere anaweza kukabiliana na simba au ch ui wengi kwa wakati mmoja na akawashinda ,hutumia ngozi yake na kucha kwa kuwa ni ngumu sana kama defensive mechanism yake

Nyegere akikutana na binadamu wa kiume hakuachi hivi hivi lazima atakushambulia sehemu ya siri ya kiume kwa kuwa anaona sehemu hiyo ndiyo inayokupa jeuri ya kumtamani jike lake

Baadhi ya makabila, waganga wa kienyeji hutumia mchanganyiko wa nyegere ili mume awe na upendo kama nyegere

1473454580717.png

1473454592340.png
 
Loo!! ila wivu wake ni hatari...! hivi kuna binadamu ana wivu kama huo kweli!!!:::
 
Na mimi nikiolewa ntakuwa namlinda mume wangu kama nyegere vile.
Sasa unampango gani na mimi?
Aaah
Hatimaye nimepata lookalike wangu, naskia harufuf ya ndoa ya mwendo kasi hapa.[emoji87]

[HASHTAG]#wendiounanifaa[/HASHTAG]
 
Dah nishawahi kusoma huu uzi humu Jf ila poa umenikumbushia tena habari za bwana mkorofi
Sijui JF kama kuna sheria ya kumuadhibu mtu "anayeiba" habari ya mwingine na kuirudisha hapa hapa kwa jina lake.Ame-copy na ku-paste habari hii pamoja na picha kama nilivyoileta humu jukwaani miezi kadhaa iliyopita.

Kaikuta huko watu "wameiiba" humu na yeye kairudisha tena humu
Nyegere/Honey Badger: Mnyama mwenye wivu kupindukia
 
Sijui JF kama kuna sheria ya kumuadhibu mtu "anayeiba" habari ya mwingine na kuirudisha hapa hapa kwa jina lake.Ame-copy na ku-paste habari hii pamoja na picha kama nilivyoileta humu jukwaani miezi kadhaa iliyopita.

Kaikuta huko watu "wameiiba" humu na yeye kairudisha tena humu
Achaga umbulula wewe, mimi hii habari source yake ni muungwana, ukipenda kagombane na mmiliki wa muungwana blog
 
Achaga umbulula wewe, mimi hii habari source yake ni muungwana, ukipenda kagombane na mmiliki wa muungwana blog
Sasa umbulula wa nini tena mkuu?Ukitaka kuanzisha mada..Ili kujua kama imeshakuwepo humu,thread huwa inajitokeza kwa chini....Sio kesi,wala haina haja ya kunitukana...Sina haki miliki yoyote.Ndio raha ya Jf...Kama imefika hadi kwa Muungwana basi jambo jema

Hii ni kuonyesha kila kitu kizuri huanzia hapa...Unisamehe kama nimekukwaza!Usiku Mwema
 
Achaga umbulula wewe, mimi hii habari source yake ni muungwana, ukipenda kagombane na mmiliki wa muungwana blog
inshort habari au makala yoyote unayo ikuta kwenye hizo blog zenu uchwara ama fb na watsap chimbuko lake ni jf wengi wanacopy na kupaste jf..... ifike mahali post za jf ziwe na "copyright" ili hawa wanaoiba madini humu bila ku aknoleji wakomeshwe....
 
Loo!! ila wivu wake ni hatari...! hivi kuna binadamu ana wivu kama huo kweli!!!:::
Ukiwekewa "limbwata" la nyegere na mpenzi wako!!Utakuwa tu kama nyegere mkuu Malingumu kutwa kucha mgongoni kwa mpenzi wako
 
MJUE NYEGERE MNYAMA MWENYE WIVU KUPINDUKIA!!!!

Nyegere ni moja kati ya wanyama wenye wivu sana hapa duniani. Chakula chake kikubwa ni asali,yeye hupanda juu ya mzinga wa asali na kuujambia, baada ya mashuzi yake nyuki wote hulewa na yeye kupakua asali na masega yake na kula. Mwili wake una ngozi ngumu sana kiasi hata nyuki akimuuma hakuna chochote kinatokea

Nyegere ni mnyama mwenye wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari,maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike

Nyegere anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha sita, walina asali ndio waathirika wakubwa wa hasira za Nyegere,anaweza kuujambia mzinga akala kidogo asali na kupeleka kwa mke,mlina asali akifika na kupakua, nyegere ana uwezo ya kufuatilia harufu ya aliyeiba asali yake mpaka nyumbani, na akifika anavunja mlango na kuingia ndani na kumvamia mwizi wa asali yake(ukizingatia milango ya vijijini si imara). Watu wengi vijini wameuwawa kwa namna hii.

Nyegere ndio mmoja kati ya "fearless animal" duniani, huweza kuwakabili Simba na Chui zaidi ya mmoja na kuwashinda,anasaidiwa na ngozi yake ngumu na kucha zake, awapo katika hatari ya kushambuliwa hukakamaa na ngozi yake kuwa ngumu kama "defensive mechanism" yake.

Kuna makabila ambayo waganga wa kienyeji hutumia mchanganyiko wa Nyegere kutengenezea limbwata,Yaani wamama huchukua dawa hiyo kuwawekea waume zao ili wawe na "upendo" wa Nyegere.

Wivu wa Nyegere hufanya awachukie sana binadamu wanaume,mwanaume ukiwa porini ukakutana na Nyegere akiwa na jike lake jiandae kupata kibano, huona wivu kuwa utamtamani jike,hivyo hukimbilia kumvamia mwanaume sehemu za siri akiamini ndizo zinazokupa jeuri ya kumtamani jike lake.

Nyegere hula nyoka wa aina yoyote,ana sumu kali ambayo akimng'ata nyoka wa aina yoyote haponi.

Ogopa sana kukutana na mnyama mwenye wivu Nyegere...
367340a7b6f7acaef68f4501ec7913d4.jpg
bca75e43c3b8534506741c289445f1e9.jpg
656de7d939b4a44db82cef233995919b.jpg
 
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Jenasi: Mellivora
Storr, 1780
Spishi: M. capensis
(Schreber, 1776)
Nyegere, melesi au mhilu (Mellivora capensis) ni mnyama mdogo wa familia Mustelidae anayetokea Afrika, Mashariki ya Kati na Uhindi.

Nyegere huishi peke yao kwenye shimo analolichimba yeye mwenyewe. Ni wachimbaji wazuri sana. Vile vidole vyao vyenye kucha ndefu na ngumu humsaidia sana kwenye kazi hii. Hata kama ardhi ni ngumu sana, ana uwezo wa kuchimba shimo linalomtosha kujificha katika kipindi kinachokadiriwa kuwa ni dakika kumi tu.

NYEGERE (Honey burger) a.k.a "The fearless animal" TABIA NA MAMBO YAKE MENGINE Nyegere ni mnyama mwenye wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari,maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike Nyegere anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha sita, walina asali ndio waathirika wakubwa wa hasira za Nyegere,anaweza kuujambia mzinga akala kidogo asali na kupeleka kwa mke,mlina asali akifika na kupakua, nyegere ana uwezo ya kufuatilia harufu ya aliyeiba asali yake mpaka nyumbani, na akifika anavunja mlango na kuingia ndani na kumvamia mwizi wa asali yake (ukizingatia milango ya vijijini si imara). Watu wengi vijini wameuwawa kwa namna hii. Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya kilomita saba usiku kwa usiku anafuata harufu ya mtu aliyelina mzinga wa asali aliyoijambia, alipofika akavunja mlango na kukuta wamelala watu wanne kwenye mkeka mmoja,akabagua yule mwizi wake, akagawa kichapo halafu akarudi porini kimya kimya Ni mnyama mdogo anayekula nyoka, kenge, majani, matunda, kenge, mizoga ya binadamu, chui, simba, duma, ndege n.k...kwa kifupi anakula kila kitu na ngozi yake ni ngumu sana kiasi kwamba mishale na mikuki au risasi ni ngumu kupenya..ukitaka kumuua ni kumpiga katika fuvu la kichwa chake na kitu kizito au risasi kichwani,katika guines world book of records yeye ndio the most fearless creature on the planet mwili wake haudhuriki na sumu ya nyoka wa kawaida na ikitokea ameumwa na nyoka mwenye sumu kali na sumu ikapenya kwenye damu yake itamfanya alale kwa masaa kadhaa tu kisha ataendelea na mambo yake. Ana meno makali/magumu sana yenye uwezo wa kupasua hata jumba la kobe. .Ashawahi kukutwa akipigana na simba na hata tembo na vifaru katika nyakati tofauti. Ni mvivu katika maswala ya nyumba yake hivyo basi anapojisikia uvivu hujilaza sehemu yoyote inayomfaa..ishaonekana akiwa kajiliza katika pango la mbwa mwitu kama kwake. Wanapatikana India,Kusini magharibi barani Asia na Afrika
 
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Jenasi: Mellivora
Storr, 1780
Spishi: M. capensis
(Schreber, 1776)
Nyegere, melesi au mhilu (Mellivora capensis) ni mnyama mdogo wa familia Mustelidae anayetokea Afrika, Mashariki ya Kati na Uhindi.

Nyegere huishi peke yao kwenye shimo analolichimba yeye mwenyewe. Ni wachimbaji wazuri sana. Vile vidole vyao vyenye kucha ndefu na ngumu humsaidia sana kwenye kazi hii. Hata kama ardhi ni ngumu sana, ana uwezo wa kuchimba shimo linalomtosha kujificha katika kipindi kinachokadiriwa kuwa ni dakika kumi tu.

NYEGERE (Honey burger) a.k.a "The fearless animal" TABIA NA MAMBO YAKE MENGINE Nyegere ni mnyama mwenye wivu na mapenzi maku
1154de1ce145c4b9c0f6a805cefee2f3.jpg
5c6899245d33db70bd37cb473beebb80.jpg
e282cd22f473fc9d81a0e83fa87c0412.jpg
bwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri ya jike litararuliwa na kupokea kichapo cha hatari,maana wivu wake ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi utamu" wa jike Nyegere anaweza kununua ugomvi mpaka kijiji cha sita, walina asali ndio waathirika wakubwa wa hasira za Nyegere,anaweza kuujambia mzinga akala kidogo asali na kupeleka kwa mke,mlina asali akifika na kupakua, nyegere ana uwezo ya kufuatilia harufu ya aliyeiba asali yake mpaka nyumbani, na akifika anavunja mlango na kuingia ndani na kumvamia mwizi wa asali yake (ukizingatia milango ya vijijini si imara). Watu wengi vijini wameuwawa kwa namna hii. Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya kilomita saba usiku kwa usiku anafuata harufu ya mtu aliyelina mzinga wa asali aliyoijambia, alipofika akavunja mlango na kukuta wamelala watu wanne kwenye mkeka mmoja,akabagua yule mwizi wake, akagawa kichapo halafu akarudi porini kimya kimya Ni mnyama mdogo anayekula nyoka, kenge, majani, matunda, kenge, mizoga ya binadamu, chui, simba, duma, ndege n.k...kwa kifupi anakula kila kitu na ngozi yake ni ngumu sana kiasi kwamba mishale na mikuki au risasi ni ngumu kupenya..ukitaka kumuua ni kumpiga katika fuvu la kichwa chake na kitu kizito au risasi kichwani,katika guines world book of records yeye ndio the most fearless creature on the planet mwili wake haudhuriki na sumu ya nyoka wa kawaida na ikitokea ameumwa na nyoka mwenye sumu kali na sumu ikapenya kwenye damu yake itamfanya alale kwa masaa kadhaa tu kisha ataendelea na mambo yake. Ana meno makali/magumu sana yenye uwezo wa kupasua hata jumba la kobe. .Ashawahi kukutwa akipigana na simba na hata tembo na vifaru katika nyakati tofauti. Ni mvivu katika maswala ya nyumba yake hivyo basi anapojisikia uvivu hujilaza sehemu yoyote inayomfaa..ishaonekana akiwa kajiliza katika pango la mbwa mwitu kama kwake. Wanapatikana India,Kusini magharibi barani Asia na Afrika
59092674f50158d7d83886bd7fe668fd.jpg
 
Back
Top Bottom