Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya kilomita saba usiku kwa usiku anafuata harufu ya mtu aliyelina mzinga wa asali aliyoijambia, alipofika akavunja mlango na kukuta wamelala watu wanne kwenye mkeka mmoja,akabagua yule mwizi wake, akagawa kichapo halafu akarudi porini kimya kimya.


Hiki kipande kama movie vile hahah
 
images
 
KUTANA NA KIUMBE KISICHOOGOPA KITU MSITUNI. Mbabe wa Nyika na Chaka lakini Asiyevuma. Huenda ukiambiwa utaje wanyama hatari sana duniani utakimbilia kwa simba ama chui kwa haraka...... Nyegere ama Honey badger ni miongoni mwa wanyama hatari zaidi duniani, kwa tarifa yako tu hata nyoka, chui na simba huufyata kwa Nyegere ..............

1. Nyegere ndio mmoja kati ya wanyama wasioogopa kitu chochote duniani, huweza kuwakabili Simba na Chui zaidi ya mmoja na kuwashinda. Na yeye hategemei mob/kuchangia mande kwani ni mmoja wa wanyama wanaotembea kivyake wakati wote isipokuwa wakati wa kupandana tu.

2. Nyegere ana gozi gumu zaidi kuliko wanyama wote wa mwituni kiasi ambacho ni ngumu sana kumuua kwa mshale au hata panga, gozi la mnyama huyu linafanua sindano ya nyuki kudunda tu....anasaidiwa kucha zake, ndefu na ngumu awapo katika hatari ya kushambuliwa ngozi yake huwa ngumu na kukakamaa zaidi ("defensive mechanism).

3. Nyegere hula vyote iwe nyama iwe majani na hii imemfanya kustahili shuruba za mazingira yote iwe nyikani ama mwituni. Chakula chake kikubwa ni asali.

4. Nyegere hula nyoka wa aina yoyote, ana sumu kali ambayo akimng'ata nyoka wa aina yoyote haponi ingawa wapo nyoka wenye sumu ambao Nyegere akiwala anaweza kuzimia kwa masaa kadhaa kutokana na ukali wa sumu ambayo inakuua wewe kwa dakika tu.

5. Unaambiwa huyu jamaa ana meno na taya ngumu na kali sana kiasi cha kuvunja na kutafuna gamba la kobe kiurahisi.

MEET THE WORLD'S MOST FEARLESS CREATURE

>It’s true that the honey badger has the Guinness Book of World Records title of "World's Most Fearless Creature,"

>THEY’LL EAT ANYTHING. Seriously, anything and everything. They’re omnivores who will go after mammals, birds, reptiles, insects, larvae, plants, fruit, eggs, and roots.

> The honey badger may even have a resistance to snake venom and is sometimes able to sleep off a bite.

> Honey Badgers have powerful jaws and sharp teeth, which powerful enough to crush tortoise's shell.

> Honey Badgers also have very tough skin. The skin is very thick and rubbery, which almost impervious to arrow and spears. Even a blow from machete can't scratch the skin. The skin protect them from bites.

source:Utalii_Tanzania
 
Daa atii anazimia tu haka kamyama kana hatari sana nasikia kwa Wivu ndo kenyewe

Ugomvi wake hauishi anaweza kukuhamisha hata kijiji kama haupo kila saa kana kuja kukuchungulia kama umerudi kakuamshie noma.

Kuna kipindi Singida kalileta Ambush kweli

Kwa hiyo bora ukutane na Simba kumi kuliko katoto ka honey badger
 
Mimi hua mfatiliaji haasa wa channel za wanyama kama discovry chnnl National geographic na Nat Animals
Lkn sijawahi ona Documentary hata moja ya KICHECHE
Utaona simba akimwinda swala chui akimwinda nyumbu
Lkn cha ajab hamnaga KICHECHE AKIMWINDA KUKU[emoji2]
Pale kicheche amavoenda kujificha kichakani akiona kuku hlf anajibinua na kuitoa Tigo yake huku akiipanua na ninyekundu ka nyanya hapo kuku lazma aladonoe
Kosa akidonoa tu jamaa anaibana hio dif nakutoka nae nduki haasa[emoji3]
 
Asee situnambiwa ni binadamu na Dolphins tu ndo wanagegedana kwa starehe hao wengine ni kwa kuzaliana tu iyo nyegere niaje ase? Afu mimi nikigumiana nae porini ntajitahdi nimdake halafu nimfunge nianze kujiachia na jike lake huku yeye anaona, bwege sana uyo nyegere yani anaminyana na K ivo
utaanza kujiachia na jike la nyegere!!!!!!!!!!!😀😀😀😀😀😀
 

  1. Mkuu Mkereketwa haina haja ya kuniita muongo,ungeweza kutoa usahihi ya maelezo yako ya "kitaalamu" bila kunipa hilo jina.
    Mimi nimefundishwa kwa kurithishwa na mababu zangu wawindaji tabia za mnyama huyu na jinsi ya kukabiliana nae,Wazee hawakuwa wameenda shule kusomea mambo ya wanyama,wao walikuwa wanajuwa mashuzi ya Nyegere si tu kujilinda na maadui kwa harufu kali,bali pia kuwapumbaza nyuki kila wanapokuwa wanakwenda kuvamia asali

    Naahukuru kuwa hujapinga kuwa nyengere hujamba mashuzi yanayonuka,maana hii ndio sifa yake moja wapo kubwa,hizo sababu nyingine ni za elimu darasa ambazo babu zetu hawakupitia.Hata leo ukienda kijijini kwangu ukawaambia mashuzi ya nyegere hayaleweshi nyuki hawatakuelewa na huo "utaalamu" wako

Hata hiyo kujambia nyuki nilishaambiwa na babu yangu.
 
Back
Top Bottom