Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau ngozi na mifupa yake hutumika kutengenezea limbwata pia ili mwanaume akupende na awe na wivu na ww.
Kuna mtu kaniambia hvyo
Watu wanalenga faidaHakuna ujinga mkubwa kwa mwanamke kama huu wa kumfanya mwanaume akupende bila ridhaa yake
Yaani hata ukifanikiwa hapo ni kwamba unakua na mtu kama robot, mtu ambae unajua kabisa kwamba moyoni hakupendiWatu wanalenga faida
ha wap😉😉Angeacha hako katabia ka uvivu na kujilaza sehemu yoyote; huyu Nyegere angekua na tabia zote za binadamu wa kiume☺☺
😂😂ha wap😉😉
Aisee kama ni kweli lazima mtu ukaeBila kusahau ngozi na mifupa yake hutumika kutengenezea limbwata pia ili mwanaume akupende na awe na wivu na ww.
Kuna mtu kaniambia hvyo
1. Picha yake tafadhali
2. Dawa yake ukishauchukua mzinga wake wa asali mnauweka kwenye ghala ambako hakuna kitu kingine zaidi ya asali na mmefunga kamera na maeneo ya ghala hakuna mlinzi wala mtu yeyote.
Aliyepeleka hiyo asali hapo akishaifungia ndani ya ghala anajipulizia manukato mbalimbali mwili mzima kisha anabadili nguo nyingine kurudi kwake.
Je, huyi nyuki atamfuata mrina asali hadi kwake pamoja na kuwa amevuruga harufu ya kijambo chake kwa manukato na kubadili nguo?
Nyuki akiingia kwenye ghala na asipoona mtu na haoni harufu ya kijambo chake ikitoka nje ya ghala atafanyaje?
NB: hilo ghala liko mbali na makazi ya mrina asali.
Nawaza na kujiuliza...
Kwanza kufa kwake ni kimbembe hiyo nyama utaipat wap labda uliuziwa ngedere ukaambiwa nyegere😁😁😁Huyu kiumbe nyama yake Ina Radha ya kipekee sana.
![]()
![]()
![]()
1.Ni mnyama mdogo anayekula nyoka, kenge, majani, matunda, kenge, mizoga ya binadamu, chui, simba, duma, ndege n.k...kwa kifupi anakula kila kitu
2.ngozi yake ni ngumu sana kiasi kwamba mishale na mikuki au risasi ni ngumu kupenya..ukitaka kumuua ni kumpiga katika fuvu la kichwa chake na kitu kizito au risasi kichwani,
3.katika guines world book of records yeye ndio the most fearless creature on the planet
4.mwili wake haudhuriki na sumu ya nyoka wa kawaida na ikitokea ameumwa na nyoka mwenye sumu kali na sumu ikapenya kwenye damu yake itamfanya alale kwa masaa kadhaa tu kisha ataendelea na mambo yake
5.Ana meno makali/magumu sana yenye uwezo wa kupasua hata jumba la kobe
6.Ashawahi kukutwa akipigana na simba na hata tembo na vifaru katika nyakati tofauti
7.Anapenda kula asali, huwa anaupulizia hewa chafu mzinga na nyuki wote kulewa hivyo kula asali na kuondoka zake
8.Ni vigimu kumshambulia kwani ngozi yake inamfanya iwe rahisi kwake kujikaza na kujizungusha katika upande wowote anaotaka na kukujeruhi.
9.Ni mvivu katika maswala ya nyumba yake hivyo basi anapojisikia uvivu hujilaza sehemu yoyote inayomfaa..ishaonekana akiwa kajiliza katika pango la mbwa mwitu kama kwake.
Mengine angalia link ya youtube nimekuwekea chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mungu ndiye fundi mkuu, nakwambia nyegere wangekuwa na nyumba Kali kuliko zetu, iwapo tu asingekuwa mvivu.Angeacha hako katabia ka uvivu na kujilaza sehemu yoyote; huyu Nyegere angekua na tabia zote za binadamu wa kiume☺☺