Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Safi mkuu, maana watu hawakawii kusema chaiHoney badger kwa KimomboView attachment 1754083
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi mkuu, maana watu hawakawii kusema chaiHoney badger kwa KimomboView attachment 1754083
Limbwata linatengenezwa na mganga ambaye ni mtanzaniaLimbwata lake linatengenezwa na kabila gani?
Fafanuapo
Hapa ni suala timing,hata command anaweza kuuwawa kirahisi na mtu wa kawaida ambae hata mgambo hajawahi kanyagaNaombeni majibu hapa kama kweli nyegere anaweza kumzingua simba
Ni mdudu pia ambaye hapendi kukanyaga umande
Huyu ndie. Mbabe wa Nyika na Chaka lakini Asiyevuma. Huenda ukiambiwa utaje wanyama hatari zaidi duniani utaanza na simba ama chui kwa haraka lakini ukweli ni kuwa Nyegere ama Honey badger ni miongoni mwa wanyama hatari zaidi duniani, kwa tarifa zenye uhakika ni kuwa hata nyoka, chui na simba hufyata kwa Nyegere.
1. Nyegere ndio mmoja kati ya wanyama wasioogopa kitu chochote duniani, huweza kuwakabili Simba na Chui zaidi ya mmoja na kuwashinda. Vile vile hategemei wenzake (uwingi wao) kwakua Njegere ni mmoja wa wanyama wanaotembea kivyake wakati wote isipokuwa wakati wa kupandana tu.
2. Nyegere ana gozi gumu zaidi kuliko wanyama wote wa mwituni kiasi ambacho ni ngumu sana kumuua kwa mshale au hata panga, Vile vile gozi la mnyama huyu linafanya sindano nyembamba ya nyuki kudunda... katika mapambano .anasaidiwa na kucha zake, ndefu na ngumu, kama haitoshi awapo katika hatari ya kushambuliwa ngozi yake huwa ngumu na kukakamaa zaidi ("defensive mechanism).
3. Nyegere hula vyote iwe nyama iwe majani na hii imemfanya kustahili shuruba za mazingira yote iwe nyikani ama mwituni. Chakula chake kikubwa ni asali.
4. Nyegere hula nyoka wa aina yoyote kwakua pia ana sumu kali ambayo akimng'ata nyoka wa aina yoyote haponi ingawa wapo nyoka wenye sumu ambao Nyegere akiwala anaweza kuzimia kwa masaa kadhaa kutokana na ukali wa sumu ambayo inakuua wewe kwa dakika tu.
5. Utafiti unathibitisha kuwa mnyama huyu ana meno na taya ngumu na kali sana kiasi cha kuvunja na kutafuna gamba la kobe kiurahisi.
6. Nyegere ni mnyama mwenye wivu sanaa nyegere hutembea nyuma ya jike yan hata jani likigusa jike lake basi vita yake na jani itakua ni kubwa saaanaaa
7. Hivi unajua kama nyegere ni mlevi [emoji3][emoji3][emoji3] hutumia sumu za nyoka na wanyama wenye dumu kali kama kilevi oindi anapowaua analala kwa mda ataamka kuendelea na shughuli zake.
8. Nyegere hua natabia ya kula sana asali yani anapeenda asali kupitiliza na hujambia mzinga nyuki hulewa then yy heendelea na shuhuli yake.
9. OLe wako uchukue asalinya nyegere atafuatilia harudi mpka ulipoishia na hua anakuja usiku anaweza kufanya vurugu kubwa sana kama kulipiza kisasi hata ikiwa Dar-Moro [emoji3][emoji3][emoji3]
10. Kutokana na kufanana kwao kwa kimwili, nyegere wana tezi hatari chini ya mkia wake wenye maji yenye harufu kali.. Kwa ujumla, hutumiwa tu kuashiria umiliki wa eneo.
11. Kwakutumia kucha zao ndefu nyegere huchimba sana na anaweza akachimba umbali zaidi kwenda chini na hata kwenye mti wanakucha ngumu sana
12. KWA kawaida nyegere ni mvivuuu sana yan akijisikia kulala anaweza akalala sehemu yoyote ile hajali kama shimo la panya au nyoka au chochote yeye analala[emoji3][emoji3][emoji3]
13. Ni kweli kwamba nyegere yupo kwenye kitabu cha maajabu ya dunia kama "Kiumbe wa Ulimwengu asioogopa chochote, Wao ni wavamizi na wenye utayali wa vita muda wote ya kupigana hata kwa fisi, simba chui wao vita tu.
14. Kama hujui nyegere anakula kitu chochotee kile sio ndege sio majani sio mnyama yeye anakigeuza msosi mpka anaposhiba.
15. Nyegere anangozi ngumu sana yenye kuhimili mishale ulishwahi kuona nungu nungu akituoa miba basi ile miba ni kama zile stick za meno kwa nyegere [emoji3][emoji3][emoji3]
16. Wao wanameno ni yenye nguvu na magumu sanaa meno ya nyegere yanvunja lile gamba la kobe unalojua kama biscut[emoji3]
17. Nyegere ni mnyama msafi sana sio mchafu kama wanyama wengine walao nyama haogopi na msafi muda wote.
Nyegere
Kwenye pua hata kwa ngumi unamuuaHuyu namna pekee ya kumuua ni kumpiga kwa nguvu na kitu kizito kwenye utosi
Nyongeza akifa mzoga wake huwa unashtuka shtuka mpaka utakapobaki mifupa ndiyo unatulia.Binafsi nimefurahishwa na historia yake kwa kweli JF NI zaidi ya shule.
honey badgerDuh asante kwa kutushurikisha
Kanaitwaje jina lake kizungu nukatafute makala yake YouTube
Kweli jamaa kaiwasilisha mada hii kuhusu nyegere kisanii. Yaani kaongeza manjonjo, madoido na mbwembwe ili kumvuta msomaji aweze kutiririka naye vizuriSema umeiwasilisha vizuri sana, inahamasisha kuendelea kusomwa.
Hata mimi nimelazimika kuimaliza dadadeekKweli jamaa kaiwasilisha mada hii kuhusu nyegere kisanii. Yaani kaongeza manjonjo, madoido na mbwembwe ili kumvuta msomaji aweze kutiririka naye vizuri
Hapo anaposema nyegere anaongea na simba au binadamu ni mtindo tu wa kuhadithia facts kumuhusu huyo mnyama ili story isichoshe
Tupo mrejesho wa prezenteshen ofisin kwako bosi aliipokea vpMkuu huyo mzee hiyo mikono kalimjambia? Hako kajamaa basi ni noma...kesho ntaenda kufanya presentation ofisini kuhusu haka kamnyama...bosi aki-mind kivyake