Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Huyu mwamba yupo wapi siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hio clip au link yakeHuyu mwamba yupo wapi siku hiziView attachment 2846906
Na vipi yule wa kisarawe aliyekuwa anapiga mapicha na madam jokate akatumbuliwa.Huyu mwamba yupo wapi siku hiziView attachment 2846906
Shida ya JPM alikuwa hataki ujitetee akisema we boya ukae kimya akisema we mwizi ukubali tu.Hakuwahi kubishana na Jiwe, yeye alikua anajitetea tu.... Sema hakua akijua kwa mtu wa aina gani.
Zeee korofi🤣🤣🤣🤣Huyu mwamba yupo wapi siku hiziView attachment 2846906
Huyu mwamba wakuniinua aliamishiwa Tanga huko gereza la maweni 😁Hakuwahi kubishana na Jiwe, yeye alikua anajitetea tu.... Sema hakua akijua kwa mtu wa aina gani.
Hahaha! Huyu ndiye kiboko ya Jiwe. Hakutegemea kuwa jamaa angemjibu vile.
Oyaaa acha aisee..ni ukwel au unayazusha tu?Hahahaha hii ziara ya Butimba ilijaa watu waliovurugwa, kuna mfungwa mmoja mlemavu alifungwa kwa ubakaji akamuuliza Jembe "eti mimi naweza na kutomber na nikakimbia kweli"
Barua ya kumtengua yule mama iliandaliwa palepale JIWE akiwa jukwaaniNa kuna yule maza alikuwa either DED or DC alimjibu nna kazi nyingi siwezi kufuatilia kila kitu,Jiwe akamuuliza unanijibu hvyo mimi.