BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Hahaa we mwanangu sema ndo vile humu tunatumia fake idLazima unanifahamu, Lingo Kuna kipindi nimeishi nae mitaa ya jirani akiwa ubungo miaka ya 2015 nadhani. Huyo ni lingo mbanga sio matengele...Tovuti kitambo sijamsoma yule diaspora. Vivian docs Sana nadhani mambo yake
hivi unaweza kuwa na namba ya lingo mbanga?