Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

On a serious note , kwa nchi ambazo ziko serious Jiwe asingewahi kuwa rais .

He was a serious psychiatric case.

Yule magenge ya Msoga na Monduli ndio yalileta ile product .

Mathias Chikawe akakamilisha kazi , ndio maana nikisia suala la vetting kwa viongozi wa bongo huwa nabaki kucheka tu.
Kwa upepo wa siasa kipindi kile,ulihitajibmtu asiye na kashfa ya ufisadi,kabila kubwa na mkatoliki, uchaguzi ulikua ngumu..so vetting ipo
 
Kama Unakumbuka Na Kufuatilia Hotuba Za Jiwe Utagundua Mengi
Akiwa Arusha Halafu RC Ni Mrisho Gambo Walinunua Wapinzani Kwa Gharama Kubwa
Utakumbuka Ilikuwa Kama Fashion Kutangaza Hadharani Wapinzani Leo Wanarudi CCM



Ajabu Wale Wahuni Wa Chadema Walichukua Cash Siku Jiwe Akiwa Sheikh Amri Abeid Stadium, Gambo Anasema Leo Mheshimiwa Rais Utapokea Wapinzani Wanaorudi CCM
Oops Jamaa Hawakuwepo Wamekimbia Na Cash Ya CCM
Kwa Hasira Jiwe Bila Kuzima Microphone Alitamka Pumbavu Sana Hawa


Akamuuliza Mkuu Wa Mkoa Wako Wapi Watu Wako?Kimyaa
akasema Pumbavu Sana Hawa
Wakawa wametapeliwa
 
Ndugu Askari: Hata hivyo nashukuru umeniinua, nimeinuliwa......👮‍♂️👮‍♂️

Jiwe: Kwahiyo mi nimekuja hapa ili uinuliwe...hivi unajua ninaweza kuzing'oa hizo nyota.... 😡😡

😂😂😂 Ubaya wa jiwe anatumaga manjangu mapema, kwahiyo anakua na info 90% anachokuuliza anakijua anangoja udanganye
 
Back
Top Bottom