Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Yule Alimtisha Sana Jiwe
Alimwambia Kuanzia Ghorofa Moja Nyumba Ya Serikali Hasa Hospital Lazima Kuwe Na Lift
jiwe Akasema Kwako Kuna Lift Jamaa Akasema Kwangu Siyo Jengo La Umma
Pia Lift Inawekwa Kwa Matakwa Ya Sheria Siyo Mtu Kutaka
magu alikuwa hapendi mtu wa kumwelezi facts. Akiwa waziri wa ujenzi kuna jamaa walileta boat kwa ajili ya kanda ya ziwa zilikuwa speed boats. Sasa ilibidi zipakiwe kwenye magari yatembee kutoka dsm hadi mwanza ziwekwe ziwa victoria.
Magu akasema zitaharibu barabara na itabidi wakate nyaya za umeme kutokana na urefu wa zile boat. Jamaa akasema zitakatwa kupunguza urefu bado magu akawa anasema barabara zimejengwa kubeba sijui tani ngapi zile boat zina uzito umepitiliza.
yule bwana si akamchana magu akasema, hajui hata huo uhandisi kauotoa wapi hana analojua. hizo boat zitabebwa kwenye gari sijui ina tairi 20 na ngapi, so uzito utasambazwa kwenye kila tairi hivyo kila tairi litakuwa limebeba uzito kadhaa so there is no way zitaharibu barabara maana hazitavuka uzito.
Magu bado akagoma, jamaa wakazirudisha baharini zikatoa kenya zikatembea na gari mpaka ziwa victoria. zikaanza trip ziwa victoria, kwani zilichukua hata mieiz 6, jamaa ilibidi azipaki.
 
Kama Unakumbuka Na Kufuatilia Hotuba Za Jiwe Utagundua Mengi
Akiwa Arusha Halafu RC Ni Mrisho Gambo Walinunua Wapinzani Kwa Gharama Kubwa
Utakumbuka Ilikuwa Kama Fashion Kutangaza Hadharani Wapinzani Leo Wanarudi CCM

Ajabu Wale Wahuni Wa Chadema Walichukua Cash Siku Jiwe Akiwa Sheikh Amri Abeid Stadium, Gambo Anasema Leo Mheshimiwa Rais Utapokea Wapinzani Wanaorudi CCM
Oops Jamaa Hawakuwepo Wamekimbia Na Cash Ya CCM
Kwa Hasira Jiwe Bila Kuzima Microphone Alitamka Pumbavu Sana Hawa

Akamuuliza Mkuu Wa Mkoa Wako Wapi Watu Wako?Kimyaa
akasema Pumbavu Sana Hawa
Braza dah Asante kwa kuifanya siku yangu .
Usiku mwema kapteni wangu
 
Kama Unakumbuka Na Kufuatilia Hotuba Za Jiwe Utagundua Mengi
Akiwa Arusha Halafu RC Ni Mrisho Gambo Walinunua Wapinzani Kwa Gharama Kubwa
Utakumbuka Ilikuwa Kama Fashion Kutangaza Hadharani Wapinzani Leo Wanarudi CCM

Ajabu Wale Wahuni Wa Chadema Walichukua Cash Siku Jiwe Akiwa Sheikh Amri Abeid Stadium, Gambo Anasema Leo Mheshimiwa Rais Utapokea Wapinzani Wanaorudi CCM
Oops Jamaa Hawakuwepo Wamekimbia Na Cash Ya CCM
Kwa Hasira Jiwe Bila Kuzima Microphone Alitamka Pumbavu Sana Hawa

Akamuuliza Mkuu Wa Mkoa Wako Wapi Watu Wako?Kimyaa
akasema Pumbavu Sana Hawa
Hii nakumbuka, nilikuwa jirani kabisa😂😂
 
Ndio ,nimesoma nao. Mkolosai wiki kabda ajapata ajali nilikua nae Soweto mbeya nakumbuka, hope alikua katoka makanta kwao huko.
Mick marehem tovuti lingo mbanga vivian na wana wengine hapo sai ni wanangu sana lazima hata wewe tunafahamiana tu.
 
Mick marehem tovuti lingo mbanga vivian na wana wengine hapo sai ni wanangu sana lazima hata wewe tunafahamiana tu.
Lazima unanifahamu, Lingo Kuna kipindi nimeishi nae mitaa ya jirani akiwa ubungo miaka ya 2015 nadhani. Huyo ni lingo mbanga sio matengele...Tovuti kitambo sijamsoma yule diaspora. Vivian docs Sana nadhani mambo yake
 
Back
Top Bottom