Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Jiwe Alisema Kwa Hasira Kuna Mteule Wangu Hapa Kisarawe Nimempa Kazi
Anachofanya Ni Kutongoza Wake Za Watu, Tumemuonya Ila Haonyeki
Waziri Jafo Nataka Umpangie Kazi Ya Chini Kabisa Huyu Bwana
Jamaa aliingia choo cha kike. Pembeni alikuwa kakaa Kigwangala anacheka kinoma. Halafu jiwe akamteua maza fulani akamwambia, sasa na wewe kashindane na mwenzako kuchukua mabwana za watu. Ile kitu ilikuwa personal.

Mkubwa akitaka kuwa kama mume wa Grace Mugabe jiondoe kabisa ukae mbali
 
Yule Alimtisha Sana Jiwe
Alimwambia Kuanzia Ghorofa Moja Nyumba Ya Serikali Hasa Hospital Lazima Kuwe Na Lift
jiwe Akasema Kwako Kuna Lift Jamaa Akasema Kwangu Siyo Jengo La Umma
Pia Lift Inawekwa Kwa Matakwa Ya Sheria Siyo Mtu Kutaka
Jamaa alikuwa hataki mtu wa kumchallenge. Sijui kama jamaa alibaki salama.
 
Kama Unakumbuka Na Kufuatilia Hotuba Za Jiwe Utagundua Mengi
Akiwa Arusha Halafu RC Ni Mrisho Gambo Walinunua Wapinzani Kwa Gharama Kubwa
Utakumbuka Ilikuwa Kama Fashion Kutangaza Hadharani Wapinzani Leo Wanarudi CCM

Ajabu Wale Wahuni Wa Chadema Walichukua Cash Siku Jiwe Akiwa Sheikh Amri Abeid Stadium, Gambo Anasema Leo Mheshimiwa Rais Utapokea Wapinzani Wanaorudi CCM
Oops Jamaa Hawakuwepo Wamekimbia Na Cash Ya CCM
Kwa Hasira Jiwe Bila Kuzima Microphone Alitamka Pumbavu Sana Hawa

Akamuuliza Mkuu Wa Mkoa Wako Wapi Watu Wako?Kimyaa
akasema Pumbavu Sana Hawa
 
Umenichekesha sana mkuu. Hii ilinipita
 
Hii pia niliiona..[emoji1787][emoji1787]
 
Hii niliiona live kwenye tv. Waliounga mkono juhudi hawakutokea.
 
Kama Unakumbuka Na Kufuatilia Hotuba Za Jiwe Utagundua Mengi
Akiwa Arusha Halafu RC Ni Mrisho Gambo Walinunua Wapinzani Kwa Gharama Kubwa
Utakumbuka Ilikuwa Kama Fashion Kutangaza Hadharani Wapinzani Leo Wanarudi CCM

Ajabu Wale Wahuni Wa Chadema Walichukua Cash Siku Jiwe Akiwa Sheikh Amri Abeid Stadium, Gambo Anasema Leo Mheshimiwa Rais Utapokea Wapinzani Wanaorudi CCM
Oops Jamaa Hawakuwepo Wamekimbia Na Cash Ya CCM
Kwa Hasira Jiwe Bila Kuzima Microphone Alitamka Pumbavu Sana Hawa

Akamuuliza Mkuu Wa Mkoa Wako Wapi Watu Wako?Kimyaa
akasema Pumbavu Sana Hawa
Hahahahaaahhhh yule Mzee lazima alikuwa anachoma sio Bure,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom