Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Kuna yule albino aliongea mengi sana na Ile lafudhi yake ya kikurya.....

Akawatuhumu uongozi wa maaskari magereza kua wana mihuri ya ikulu 😅😅

Jamaa akaenda mbali zaidi Kwa KUSEMA ukiwa Mwanaharakati au mjuaji unapoumwa unachomwa sindano ya SUMU very sad 😢

Pia akaomba JPM amuhakikishie uhai wake maana Watamuua...
Na haikupita muda jamaa akaachiwa huru ila inaonekana alikuwa mnokonoko sana
 
Na haikupita muda jamaa akaachiwa huru ila inaonekana alikuwa mnokonoko sana
Kuna ndugu yangu alipataga kesi ya mauaji akawa maabusu Kwa muda mrefu sanaaa enzi za utawala wa mkapa....

Alikua ananisimulia uongozi wa Gerezani ulikua unawapikia mapumba ya mahindi.....unga unaendwa kuuzwa....

Ikafik siku wakatembelewa na mkubwa wakaulizwa kero zao jamaa akawa kama huyo albino akatoa details nyingi na kuwa mwagia upupu maaskari na uongozi wa Gereza....

Kilicho mtokea baada ya mkubwa kuondoka alipigwa kipigo Cha mbwa mwizi na kuvunjwa mguu kumbe kisirisiri alikua amepewa mawasiliano ya Siri na yule mkubwa yaani aftermath jamaa alianza kutetemekewa na kuishi maisha mazuri sanaaa mpaka akaja kutokaga Gerezani Kwa msamaha wa raisi mkapa....
 
Kuna yule albino aliongea mengi sana na Ile lafudhi yake ya kikurya.....

Akawatuhumu uongozi wa maaskari magereza kua wana mihuri ya ikulu 😅😅

Jamaa akaenda mbali zaidi Kwa KUSEMA ukiwa Mwanaharakati au mjuaji unapoumwa unachomwa sindano ya SUMU very sad 😢

Pia akaomba JPM amuhakikishie uhai wake maana Watamuua...
Huyo jamaa alitoka kwa msamaha wa rais Samia pia ukimsikiliza vizuri n kama alieenda kukamilisha mission flan humo gerezani
 
Kama Unakumbuka Na Kufuatilia Hotuba Za Jiwe Utagundua Mengi
Akiwa Arusha Halafu RC Ni Mrisho Gambo Walinunua Wapinzani Kwa Gharama Kubwa
Utakumbuka Ilikuwa Kama Fashion Kutangaza Hadharani Wapinzani Leo Wanarudi CCM

Ajabu Wale Wahuni Wa Chadema Walichukua Cash Siku Jiwe Akiwa Sheikh Amri Abeid Stadium, Gambo Anasema Leo Mheshimiwa Rais Utapokea Wapinzani Wanaorudi CCM
Oops Jamaa Hawakuwepo Wamekimbia Na Cash Ya CCM
Kwa Hasira Jiwe Bila Kuzima Microphone Alitamka Pumbavu Sana Hawa

Akamuuliza Mkuu Wa Mkoa Wako Wapi Watu Wako?Kimyaa
akasema Pumbavu Sana Hawa
Hii imeendaa😆😆😆😆😆😆
 
Yule Jiwe alikuwa mpumbavu sana
Yaani hata hakuweza kufikiria kuna walemavu ambao wangeweza kuwa waajiriwa au wanafika hapo kupata huduma, na lifti ndio suluhisho lao kufika ghorofa wanayohitaji kufika.
On a serious note , kwa nchi ambazo ziko serious Jiwe asingewahi kuwa rais .

He was a serious psychiatric case.

Yule magenge ya Msoga na Monduli ndio yalileta ile product .

Mathias Chikawe akakamilisha kazi , ndio maana nikisia suala la vetting kwa viongozi wa bongo huwa nabaki kucheka tu.
 
Jamaa aliingia choo cha kike. Pembeni alikuwa kakaa kigwangala anacheka kinoma.
Halafu jiwe akamteua maza fulani akamwambia, sasa na wewe kashindane na mwenzako kuchukua mabwana za watu. Ile kitu ilikuwa personal.
Mkubwa akitaka kuwa kama mume wa Grace Mugabe jiondoe kabisa ukae mbali
Hii tabia ya viongozi kuwapa vimada vyeo haikuanzia awamu ya 5.

Kwa kumbukumbu zangu awamu ya 3 mzee wa whiskey za uskochi alikuwa anakatiza mitaa fulani na benz kwenda kwa kimada wake.

Mpaka siku wadau walipomuona kwa bahati mbaya.
 
Mathias chikawe alifanyaje?
On a serious note , kwa nchi ambazo ziko serious Jiwe asingewahi kuwa rais .

He was a serious psychiatric case.

Huyu makundi ya Msoga na Monduli ndio yalileta ile product .

Mathias Chikawe akakamilisha kazi kazi, ndio maana nikisia suala la vetting kwa viongozi wa bongo huwa nabaki kucheka tu.
 
Kama Unakumbuka Na Kufuatilia Hotuba Za Jiwe Utagundua Mengi
Akiwa Arusha Halafu RC Ni Mrisho Gambo Walinunua Wapinzani Kwa Gharama Kubwa
Utakumbuka Ilikuwa Kama Fashion Kutangaza Hadharani Wapinzani Leo Wanarudi CCM

Ajabu Wale Wahuni Wa Chadema Walichukua Cash Siku Jiwe Akiwa Sheikh Amri Abeid Stadium, Gambo Anasema Leo Mheshimiwa Rais Utapokea Wapinzani Wanaorudi CCM
Oops Jamaa Hawakuwepo Wamekimbia Na Cash Ya CCM
Kwa Hasira Jiwe Bila Kuzima Microphone Alitamka Pumbavu Sana Hawa

Akamuuliza Mkuu Wa Mkoa Wako Wapi Watu Wako?Kimyaa
akasema Pumbavu Sana Hawa
Mkuu Kennedy jioni hii ndugu yangu tujiandae kurudi makwetu soga zimetosha sasa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom