Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

basi wewe ni ninjaa
 
Jirani zangu Wananiita Mr nice guy sielew Kwanini but it keeps growing
 
Nna kasumba ya kuaminiwa na kila mtu katka mambo mengi sana kutokana jinsi nilivyo na wakati naingia ingia kwenye mambo ya kikubwa hakuna aliyewahi kunichimolea mpaka ikawa inawashangaza watu walipokuja kugundua nimepita nao karibu wote mtaani
 
Mmh kazi unayo
 

Cc wapoleee
 

unaonekana mbabe km avatar yako
 
Misimamo usiyoyumba... Imekua nguzo yangu
 
Mimi kwa kupiga wezi ni balaa ninatoa mapigo murua kabisa yaani imefikia hatua nikiwa nimesafiri wakimkamta mwizi wanamuhifadhi vizuri kabisa wanasubiri nirudi nimtembezee kichapo

we jamaa utakuwa kuni jehanamu
 
Mtaani kwetu wananichukulia mtu ambaye niko very serious, anayeogopwa, asiyezoeleka kirahisi (uso wa mbuzi). But in reality, niko very humble, down to earth, loving and caring,. Walio karibu yangu, au walioweza kupenya fences wakanifikia na kunizoea wanafurahia kuwa nami.
In fact sipendi majivuno mtaani, sipendi show off, niko na hamsini zangu, naheshimu kila mtu, wakubwa na wadogo. Karibuni kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…